Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 21,834
- 38,716
Well saidVisivyo na tija vya hovyo ndivyo serikali ya ccm inavipenda ikitoka hapo inaenda kuomba msaada vya vyoo vya shule.
Nyerere ulibugi Sana kudai UHURU.
Mara utasikia DPP hana nia ya kuendelea na kesi.Mda wa kudili na mbowe kwa ushahidi wa kuokoteza si mngeutumia kuhamasisha kumaliza tatizo la vyoo mashuleni?