Kesi ya Mbowe na wenzake, Serikali isitese watu bila sababu

Sijui Mimi ndiyo sikuelewa!
Nilipomsikia Jaji akisema kuwa kesi inatakiwa iishe ndani ya miezi tisa! Ina maana Mbowe na wenzake tangu kesi iinze ni miezi nadhani mitatu wako mahabusu kwa hiyo wanaweza kukaa mahabusu mpaka mwezi nane kabla hukumu haijatolewa?
Lakini nachojiuliza ina maana Jamhuri haina idadi kamili ya watu watakaotoa ushahidi mpaka iwatafute?
 
Kabisa haiwezekani una mashahidi 20 halfu unasema siwezi kupata shahidi kwa siku mbili mfululizo unasema hatuna shahidi, hebu tuangalie upande wa utetezi wangesema hivyo halfu jaji angesemaje?. Tusiwatendee wenzetu yasiyostahili na tusiopenda kutendewa, nawakumbusha tu dunia ni duara nani anaijua kesho yake?Mungu anauwezo na maajabu makubwa wapo watu hawakuwahi kutegemea wataomba kuuliza swali bungeni Leo wanapaswa kuomba hata nafasi ya kuuliza Kwenye kiti.
 
Rais hakudanganywa kwa Sababu yeye ndiye aliamulu Mbowe akamatwe kisa na mkasa ni katiba mpya. Hangaya alidai wasubili asimamishe uchumi akina Mbowe wakakataa hivo Rais akaona kama vile kazalauliwa. Mama akaamua kutumia mamlaka kumdhibiti Mbowe.

Kazalauliwa , wasubili,aliamulu sijui Kiswahili gani???
 
Back
Top Bottom