Intelligence Justice
JF-Expert Member
- Oct 23, 2020
- 3,029
- 3,478
Jinasibu hapaUnge quote na kifungu cha hiyo Sheria mkuu
Penal Code Cap 16 RE 2019 sect 114 (c) & (d)
Jinasibu hapaUnge quote na kifungu cha hiyo Sheria mkuu
Penal Code Act Cap 16 RE 2019 section 114 (c) & (d)weka kifungu cha sheria/kanuni
Sio matakwa ya CCM ni sheria hiyo, tulia vizuri upate tafsiri iliyo sahihiWenzako walipotakiwa kuonesha hiyo sheria mahakamani walishindwa wewe bado unsng'ang'ania matakwa ya CCM!
Kabondwa yeye na mwingine alileta ufala anabondwa pia Tanzania ni yetu sote.Sasa yuko wapi?