Jimbi
JF-Expert Member
- Aug 16, 2010
- 3,951
- 4,264
Mkuu, mimi kila nikishuhudia kifo cha mapolisi kwa risasi huwa najifanyia tafrija kujipongeza. Hili ni GENGE la MAHARAMIA wenye baraka za Serikali ya kidhalimu.Leo kesi ya Mbowe iliendelea mahakama ya uhujumu uchumi.
Shahidi namba 4 wa serikali ameingia mitini na jamuhuli wameondoa huo ushahidi.
Gafra ndo akasimamishwa Mtuhumiwa, ambae alikuwa mlinzi wa Mbowe, Ni komando aliyehudumu kwenye operation uko DRC, kwenye kuondoa waasi wa MaiMai.
Jamaa kaelezewa alivyoteswa na Kingai na Ispecta Mahita, yaani alipigwa Sana, alichomwa bisibisi matakoni na kwenye Mbavu, alifungwa na kuninginia Kama mnyama.
Sasa huyo jamaa alivyo komando akiachiwa si hatari kwa waliomtesa kina Kingai,Mahita na Familia zao.
Jamani tutende wema