Kwanini CHADEMA wanataka Rais Samia amwachie Mbowe badala ya kumtaka DPP? Je, hawaijui katiba ya JMT?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,780
141,667
Nimeona Chadema na washirika wao ACT wazalendo mara kwa mara wakimtaka Rais Samia amwachie huru Freeman Mbowe eti kwa sababu kesi hiyo inaitia doa serikali ya awamu ya sita.

Swali: Kwa mujibu wa katiba ni nani mwenye huo uwezo wa " kutokuwa" na nia ya kuendelea na kesi yoyote kwa niaba ya JMT?

Mungu wa mbinguni awabariki nyote!
 
Umesema kweli lkn je Rais si aliyesema wenzake Mbowe walishafungwa alibaki Mbowe tu kwa sababu alitorokea nje ya nchi. Huoni kwamba hapo Rais ni Mlalamikaji na DPP anaogopa kumwambia Mlalamikaji kwamba Mbowe hana kesi yeyote?
Yaani mnavyomsingiziaga rais kuwa kahukumu hamtumii akili kwanza anaweza kuwa yuko sahihi maana kunawezie waliachiwa huru kwani hiyo siyohukumu? Auhukumu mpaka mtu afungwe jela?
 
Maamuzi makubwa yoyote ya DPP ni lazima yashirikIshe IKULU yaani Rais ambaye ndiye boss wake, kwa hiyo maza hawezi kukwepa mateso anayopitia Mh. Mbowe pamoja na wale maaskari makomandoo wa JWTZ kwa muda huo wa kukaa gelezani kwa kesi ya uongo uongo.
 
Una uhakika bwashee?
 
Unajifanya huijui ile nchi naona, eti unauliza kwa mujibu wa katiba nani mwenye uwezo huo? naona umekuja kuchokoza watu au uko mtupu huko kichwani
 
Nimeona Chadema na washirika wao ACT wazalendo mara kwa mara wakimtaka Rais Samia amwachie huru Freeman Mbowe eti kwa sababu kesi hiyo inaitia doa serikali ya awamu ya sita.

Swali: Kwa mujibu wa katiba ni nani mwenye huo uwezo wa " kutokuwa" na nia ya kuendelea na kesi yoyote kwa niaba ya JMT?

Mungu wa mbinguni awabariki nyote!
Kwani kikeke wa bbc alimuhoji DPP?
 
Nimeona Chadema na washirika wao ACT wazalendo mara kwa mara wakimtaka Rais Samia amwachie huru Freeman Mbowe eti kwa sababu kesi hiyo inaitia doa serikali ya awamu ya sita.

Swali: Kwa mujibu wa katiba ni nani mwenye huo uwezo wa " kutokuwa" na nia ya kuendelea na kesi yoyote kwa niaba ya JMT?

Mungu wa mbinguni awabariki nyote!
Kwa INJI hii bwashee sheria haina mashiko kwa wakuu, mtu anaweza toa amri huyu weka ndan au huyu mfungeni aozee huko. Tatizo lako sometimes unajitoaga ufaham kbs!
 
Muhimili uliyojichimbia chini zaidi unaufahamu?

Unafahamu kwamba mihimili mingine Uhuru wake upo kimaandishi tu?
 
Nimeona Chadema na washirika wao ACT wazalendo mara kwa mara wakimtaka Rais Samia amwachie huru Freeman Mbowe eti kwa sababu kesi hiyo inaitia doa serikali ya awamu ya sita.

Swali: Kwa mujibu wa katiba ni nani mwenye huo uwezo wa " kutokuwa" na nia ya kuendelea na kesi yoyote kwa niaba ya JMT?

Mungu wa mbinguni awabariki nyote!
Sisi Chadema tunataka kesi hii iendelee kwani ni mpango wa Mungu kuimbua CCM na Serikali yake dhalim. Tumeshayajua ya ndani kabisa ambayo bila kesi hii tusingeyajua. Yapo mengi maovu na ya kutisha ambayo yamo kwenye kesi hii tunahitaji yawekwe wazi. KESI IENDELEE. WACHA UPEPO UVUME TUZIONE NYETI ZA KUKU.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom