Kesi ya Mbowe: Kufanana na Kutofautiana kwa Barua ya Ling'wenya na DR ya Msemwa

brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
16,451
2,000
Utawala wa kishetani kabisa

Leo utasikia shahidi ameshindwa kuishawishi mahakama kwanini anadhani yeye binafsi ataathirika kwa kutokuja kutoa ushahidi wake mahakamani.

Kwao issue ni maslahi binafsi.

Hiiiiii bagosha!
 

FUSO

JF-Expert Member
Nov 19, 2010
25,999
2,000
Albadiri zinamngojea Jaji endapo atathubutu kusigina Sheria kumuonea mbowe pasipo kuwafunga kingai na mahita kwa uonevu waliowatendea walinzi wa mbowe
ni kweli na ndiyo maana watu wa sampuli kama hizi kufa vifo vya hovyo hovyo na familia zao zinazobaki zinasambaratika kabisa, wengine wanakuwa mashoga, wengine wasagaji, wengine majizi, matapeli nk.

Tuombe Mungu atusaidie, kufanya kazi kwenye taasisi za kutoa HAKI unahitaji maombi mno, ni kazi ngumu na ndiyo maana babu yangu alinikataza kabisa kabisa kusomea uhakimu ama upolisi... akanipa wosia niwe karani ama mwalimu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom