Kesi ya Mbowe: Jaji hana mamlaka na document yenye wrong citation. Court of Appeal ilishaonya mara nyingi

Kamusi ya TUKI Leo imetumika kutafasri sheria

Maajabu ya Tanganyika yanaendelea kuongezeka
"WRONG CITATION" kwa wasiojua maana yake ni kumshitaki au kufanya maamuzi ya kisheria kwa kutumia SHERIA ISIYOSIMAMA na KOSA ANALOTUHUMIWA ÑALO MTUHUMIWA au KUFANYA MAAMUZI YA HUKUMU kwa SHERIA ISIYOKUWEPO...

Katika scenario hii ya leo ni kwamba shahidi Na. 8 wa upande wa mashitaka ambaye ni askari Polisi Jumanne aliwakamata na kuwapekua watuhumiwa na kuchukua [seize] mali zao kinyume cha sheria au kwa kutumia sheria isiyosimamia mchakato huo...

Na ktk kuthibitisha kuwa huyu polisi alifanya kosa la kisheria, katika maelezo yake akanukuu sheria au kifungu sheria cha sheria alichotumia kimakosa au ambacho hakipo kabisa ktk sheria za Tanzania...

Duuh, what a fatal mistake is this...!!!

Sasa ngoja tuone, Jaji atawasaidia vipi jamhuri....
 
Najazia kidogo mkuu......,,
It was accentuated by the full bench of the court of Appeal in the case of China Henan vs Salvand K.A Rwegasira "Once the application is based on wrong legal foundation, it is bound to collapse".
Aione kwenye jalada jaji tiganga

Hangaya na wengineo
 
Back
Top Bottom