akilinene
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 514
- 433
Mchezo wa siasa za kitoto za Chadema za kila siku. Jaji anamuuliza Wakili wa Chadema Malya unatoa wapi maekezo hayo.? Hasemi zimetolewa na kampuni ya simu ila anasema ameambiwa na mteja wake, yaani mshtakiwa. Halafu unataka tujadili nini hapa.Hii kesi itavua Watu nguo saana, nakiri nilikua sahihi kusali usiku na mchana isifutwe.
Muda huu kwenye cross examination, Mtobesya anamtaja Aliyewahi kuwa Waziri wa Ulinzi Ndugu Mwinyi kuwa alimtumia pesa Mtuhumiwa ndugu Bwire...
Maelezo mangapi yanatolewa na washtakiwa wakiwa mahakamani na baadaye kigundulika ni ya uongo? Yaani utoe maelezo mwenyewe na utoe hukumu mwenyewe kwamba maelezo yako ni sahihi.? Tuachane na ushabiki wa kitoto wa kisiasa .Tuache mahakama ifanye kazi yake na mbivu zitajulikana.