KESI YA MAUAJI: Utetezi wa Elizabeth Michael (Lulu) ndani ya mahakama kuu

Kwa kesi hii ni vigumu kuthibitisha pasipo kuacha shaka yeyote kwamba Lulu alimuua Kanumba. Kwakuwa hakuna aliyona (eye witness) wala ushahidi wa silaha au ushahidi wa kimazingira (umri, udogo, uanamke wa Lulu ni Mazingira tosha ya kumlinda).

Kanumba katangulia, mambo haya yafike mwisho yaishe sasa.
 
Duuh! kama kanumba alikuwa freemason kama watu wanavyosema basi itabidi akawaombe msaada hao hao freemason.

Ni wazo tu kama ataona case inamzidi uwezo
 
Wote uliowaorodhesha ni watu wazima, so walikua wakimraghai mtoto (Lulu) kwa nguvu ya pesa na umaarufu wao,

Jaribu kukumbuka ufaham uliokua nao wew ukiwa 17yrs na ufaham ulionao sasa, over

Na ndio maana Lulu alimgomea marehemu kwenda Band (akamwambia siendi band bcoz kule zinapigwa nyimbo za kizee badala yake akataka kwenda club na rafik zake wa rika lake (dogodogo wenzie)

Kama ufahamu ulikuwa mdogo aliwezaje kugoma kwenda Band?
 
Kama ufahamu ulikuwa mdogo aliwezaje kugoma kwenda Band?
Band uwa zinapigwa nyimbo za kizee, dogo alitaka kwenda club kula bata na rika lake,
Alafu kwann marehemu alikua na anakabonda katoto! Wivu gan uo
Angekua anakapiga miti then anakaruhusu kaondoke tu, ila ukitaka kum'control mtoto yatakukuta haya ya kanumba, (mm kipind fulan nshawai kuwa nakagonga katoto cha 18yrs so navifaham tabia zao, kwanza hata siku za hatari hawazifaham, inaitaj umakin sana ila nivitamu balaa, jins papuchi yao inavyobana unaunganisha bao aisee)
 
Hakuna kitu kama hicho duniani. Hivi nyinyi mnasoma sheria za wapi hizi?

Unaua mtu halafu upate nafuu kwa vile marehemu alikuwa mkali mkali?

Na muuaji alikuwa mtoto? Basi asingeshitakiwa.

Wakishasema you are competent to stand trial hawawezi ku back pedal na kusema ulikuwa mtoto au mgonjwa n.k n.k....
We unasoma sheria za wapi?
huyo ulomjibu kajaribu kuelezea kitu kinaitwa Mitigating Factor...sasa wewe usichoolewa hapo ni kitu gani.na ameeleza mtizamo wake kuwa kutokana na hiyo principle ya mitigation anaweza kupunguziwa adhabu.

All in all,kwa mujibu wa sheria za Tanzania under 18 hawezi kupatiwa adhabu sawa kama adult kwa kosa lolote lile...na kinachoangaliwa ni wakati tukio linatokea alikuwa na umri gani,kama alikuwa ni mtoto atakuwa na haki zote za kimahakama/proceedings kama mtoto,this is basing on principle of the best interest of the child.
 
Kumbuka dogo kwa kipind kile alikua na 17yrs old, baada ya Sert kwenda kumfata Dr, it means lulu akabak alone ndan ya nyumba, akaona endapo kanumba angeamka angempiga, akaona bora asepe.

Jaribu kuwaza wew kipind una 17yrs old ulikua na akiri gan japo sifaham umri wako wa sasa?

Lulu is innocent
Docter alifatwa au alipigiwa simu
 
Aman iwe nanyi wapendwa

Niko hapa mahakaman nikifatilia kwa karibu hii kes ya lulu

Moja ya vitu vinavyoniacha hoi ni maswali ya majaji wa hapa mahakam

Jaji lumanyika anaonekana kumukazia sana lulu tofaut na majaji wengine nahis huyu jaji atakuwa msukuma

Kamtwanga swali lulu kuhusu lesen ya gar lulu kasema alikuwa na lesen kipindi hicho

Akamurudia tena ieleze mahakama kama lesen yako ilikuwa halal, lulu akajichanganya akasema sikuwa na lesen

Mtanange bado unaendelea

Kwa kes ninanyoiona lulu lazima ale miala si chin ya kumi na tano

Bado niko hapa makaman mazee

LONDON BABY
Ana kesi ya ajili ya gari kwani
 
baba hujaelewa..mushkeli upo kwenye kuwasha gari..
ni gari la nani?
kama ni lake basi alikua anaendesha akiwa chini ya miaka 18?
alikua na leseni ya udereva?
Kwahyo ana trafic case inabidi akalipe fine buku 30 kama sikosei
 
Mushkeli ni Lulu kuendesha gari akiwa na umri chini ya miaka 18...
inaonyesha kama anaidanganya mahakama maana assumption ni aisngepata leseni akiwa under age..so waki clear la umri kesi ya msingi itasonga
Usiku watu wanaendesha tu hakuna trafic
 
Kujichanganay huko ni UTHIBITISO WA UWONGO!. MTU MWONGO SIKU ZOTE KUJICONTRADICT. ANGELIKUWA ANASEME UKWELI ANGE FLOW SAWA SAWA NA WANGELIONA HAKUNA MAHALA ANAJICHANGANYA.

KUJICHANGANYA KWAKE HASA NDICHO KINACHOTHIBITISHWA KWAMBA TAARIFA IMEANDIKWA KWENYE SCRIPT AKAFUNDISHWA KUSEMA ASIJUE KWAMBA ANAOKUTANA NAO SIYO BONGO MOVIE NI WASOMI WANAOJUA KAZI YAO.

TATIZO KUBWA LA HAKA KATOTO NI KAONGO KAONGO TU, HUWEZI KUKAAMINI KWA LOLOTE.

MFANO, KUKATAA KWAMBA HAKUWA NA UHUSIANO NA MAREHEMU KOMBA WAKATI SISI NI MASHAHIDI HATA ALIVYOKUWA AKIMFUATA HADI MBINGA KULE, NA KANAWEKWA HOTELINI TUNAFAHAMU BILA HAYA KANAKUWA NA YULE MZEE HADHARANI. LEO KANASEMA HAKAKU DATE NAYE. KASHENZI TU! UMALAYA UMEKAJAA!
Punguza jazba mkuu
 
There's so much to dig deep...

Hayo maelezo yake ya sijui alipigiwa simu hakupokea, mara SMS etc vyote hivyo kwa mawakili wazuri wa serikali wanapaswa wavifuatilie katika kampuni za simu husika maana ni sehemu ya ushahidi...

Anasema aliendesha gari, je alikuwa na umri sahihi wa kuhold driving license(if not hii ni kesi nyingine)...
Case ya lesenï ni ndogo tu cjuï kwann mnaikomalia.fine 30,000 tu
 
Atapigwa mvua kama tano hivi mitigation factors zitamsaidia,umri wake kuwa mdogo,tabia ya ukali ya marehemu,ni kosa la kwanza na atakavyojitetea
Eneo gani litamtia hatiani. Nafasi ya Lulu katika kifo cha marehemu ilikuwa wapi?? Ataachiwa Hutu bila mawaa!
 
Back
Top Bottom