Kesi ya Masheikh yaitwa Mahakama Kuu

Hawa ni MAGAIDI

kwasababu:-

•Waliwamwagia Watalii tindikali huko Zenji

•Waliuwa Watalii watatu Mombasa

•Walimmwagia Padri tindikali kule Zanzibar

•Wanataka kusimamisha dola inayopingana na BAKWATA na BALUKTA, Dola ya kiislam chinja chinja itakayoua makafiri endapo hawatasilimu, dola itakayoleta Mahakama ya kadhi

•Walipishana mpaka na Waislam wenzao

• Walichoma Kanisa

• Walitrain vijana kujifunza karate, kutumia jambia na bunduki katika kufanya ugaidi na mfano mzuri ni RASHIDI CHARLES MBERESERO, ambaye naye alishtakiwa huko Kenya na akajiua hivi majuzi.

•Wanajifanya wanapigana jihad kumbe Jihad Ugoro, jihad ya sasa ni ya Nafsi tu

Wasiachiwe Hawa ni hatari kwa Amani ya nchi yetu.

Amani ikipotea sio kazi rahisi kuirudisha, wasianzishe vikundi vya kigaidi kama huko Msumbiji, Somalia, Kenya n.k

Magaidi Matupu.
 
Inasemekana wanataka kushinikiza hukumu ifanyike kisha wamwambie mama awasamehe!

Hivi raisi anaruhusiwa kusamehe makosa ya aina zote ? Au ni kwa baadhi tu?.
Kuna zombie alisamehe hata waliofungwa kifungo cha maisha jela!
 
Hawa ni MAGAIDI

kwasababu:-

•Waliwamwagia Watalii tindikali huko Zenji

•Waliuwa Watalii watatu Mombasa

•Walimmwagia Padri tindikali kule Zanzibar

•Wanataka kusimamisha dola inayopingana na BAKWATA na BALUKTA, Dola ya kiislam chinja chinja itakayoua makafiri endapo hawatasilimu, dola itakayoleta Mahakama ya kadhi

•Walipishana mpaka na Waislam wenzao

• Walichoma Kanisa

• Walitrain vijana kujifunza karate, kutumia jambia na bunduki katika kufanya ugaidi na mfano mzuri ni RASHIDI CHARLES MBERESERO, ambaye naye alishtakiwa huko Kenya na akajiua hivi majuzi.

•Wanajifanya wanapigana jihad kumbe Jihad Ugoro, jihad ya sasa ni ya Nafsi tu

Wasiachiwe Hawa ni hatari kwa Amani ya nchi yetu.

Amani ikipotea sio kazi rahisi kuirudisha, wasianzishe vikundi vya kigaidi kama huko Msumbiji, Somalia, Kenya n.k

Magaidi Matupu.

Subiria mahakama ifanye kazi yake mkuu, ukiambiwa uthibitishe hizi tuhuma utakua tayari?

Tusiwe wepesi wa kuhukumu na kusema mambo ambayo hatuna uhakika nayo.
 
Lete kithibitisho!!! Maana wengi wenu mnaongea kwa chuki na si facts wala ushaidi., ndio tatizo lenu
Ukweli uliopo kwenye mahakama zetu ni kwamba, unatafutiwa kosa, hata kwa kulazimisha. Unawekwa ndani halafu upelelezi unaendelea. Kwa vile hukufanya hilo kosa, upelelezi haukamiliki hadi mtuhumiws anakufia mahabusu!
 
Katika moja ya matendo maovu na kuvunja kaki za binadamu yaliyokuwa yanafanywa na utawala wa huko nyuma ni Haya, Yaani mtu unateswa na kupewa kifungo hata kabla mahakama haijakuhukumu, HILI NI KOSA KUBWA SANA NA KWA MAUMIVU WALIYOYAPATA HAWA, MUNGU AWEZA TOA HUKUMU MBAYA KWA WALIOSABABISHA MATESO HAYA, FIKIRIA RUMANDE MIAKA 8, HII HAIPO MAHALI POPOTE DUNIANI HATA GUANTANAMO BAY YA MAREKANI HAIJAIFIKIA
lakini ndugu usiwaone viongozi woooote wliopita kuwa hawana huruma hawana akili na hawana uwezo wa kuwaachia hapana kuna sababu kubwa msilalamike sana
 
Subiria mahakama ifanye kazi yake mkuu, ukiambiwa uthibitishe hizi tuhuma utakua tayari?

Tusiwe wepesi wa kuhukumu na kusema mambo ambayo hatuna uhakika nayo.
Mbona hayo yalitokea wazi kabisa au ulikuwa hujazaliwa juzi tu , na baada ya kukamatwa uhuni huo uliisha?
 
Hawa ni MAGAIDI

kwasababu:-

•Waliwamwagia Watalii tindikali huko Zenji

•Waliuwa Watalii watatu Mombasa

•Walimmwagia Padri tindikali kule Zanzibar

•Wanataka kusimamisha dola inayopingana na BAKWATA na BALUKTA, Dola ya kiislam chinja chinja itakayoua makafiri endapo hawatasilimu, dola itakayoleta Mahakama ya kadhi

•Walipishana mpaka na Waislam wenzao

• Walichoma Kanisa

• Walitrain vijana kujifunza karate, kutumia jambia na bunduki katika kufanya ugaidi na mfano mzuri ni RASHIDI CHARLES MBERESERO, ambaye naye alishtakiwa huko Kenya na akajiua hivi majuzi.

•Wanajifanya wanapigana jihad kumbe Jihad Ugoro, jihad ya sasa ni ya Nafsi tu

Wasiachiwe Hawa ni hatari kwa Amani ya nchi yetu.

Amani ikipotea sio kazi rahisi kuirudisha, wasianzishe vikundi vya kigaidi kama huko Msumbiji, Somalia, Kenya n.k

Magaidi Matupu.
Sasa kwanini msiwahukumu Siku zote hizo mnasubiri nini
 
Mbona hayo yalitokea wazi kabisa au ulikuwa hujazaliwa juzi tu , na baada ya kukamatwa uhuni huo uliisha?

Narudia tena, acheni vyombo husika vichukue mkondo wake na sheria ziamue.

Kwa ufupi tu, moshi wa mabomu ya machozi yaliyopigwa wakati wa harakati za muamsho uliniathiri. Jihadhari na mambo ya kusadikika usiyo na uhakika nayo. Nilikua sijazaliwa???
 
Mkuu yale matukio yalifanywa na TISS katika kutengeneza mazingira ya kuwakamata hao mashehe, Hao mashehe mahubiria yao yalikua ni direct kuhoji Muungano, hayakuwa yakihusiana na masuala ya mapadri kabisa
Kabisaaa, na wala hawakuwa wanahubiri udini bali dubwasha linaloitwa muungano😂
 
Narudia tena, acheni vyombo husika vichukue mkondo wake na sheria ziamue.

Kwa ufupi tu, moshi wa mabomu ya machozi yaliyopigwa wakati wa harakati za muamsho uliniathiri. Jihadhari na mambo ya kusadikika usiyo na uhakika nayo. Nilikua sijazaliwa???
Tunachoshukuru Mungu baada ya hawa watu kukamatwa
1. Hakuna masheik wasio na misimamo mikali wanamwagiwa tindikali tena

2. Mapadri hawamwagiwi tindikali tena

3. Watalii hawashambuliwi tena

4. Makanisa hayachomwi moto tena

5. Polisi hawashambuliwi tena kama yule aliyekatwa panga hapo mwanakwerekwe
 
Ndio maana nasisitiza, subira yavuta heri.
 
Kupatikana na hatia hau kutokupatikana na hatia mahakamani haimaanishi kuwa ulitenda kosa hau ukutenda kosa

1. Unaweza kupatikana na hatia hata kama hukutenda kutokana na uzito wa ushahidi ulioandaliwa

2. Unaweza kupatikana na hatia hata kama hukutenda kwa kushindwa kujitetea

3. Unaweza kushinda kesi hata kama ulitenda kwa udhaifu wa ushihidi wa wanaokushtaki

4. Unaweza kushinda kesi hata kama ulitenda kwa umahiri wako wa kujitetea na kudhoofisha hoja za anayekushtaki

Yote kwa yote , jamii inajua yaliyotokea kipindi hicho cha vuguvugu la uamsho visiwani na bara mfumo klitu, wao wanajua, na Mungu aonaye sirini anaona ijapokuwa yupo kimywa na anaona anauona unafiki wa waziwazi wa waliyoyasahao hayo kwa sasa ila waliokuwa vilema wa kudumu wanakumbuka , waliopoteza ndugu zao wanakumbuka
 
Unataka kusemaje kwani mheshimiwa?
Naona mambo yanataka kuwa mengi!!!
 
Unataka kusemaje kwani mheshimiwa?
Naona mambo yanataka kuwa me

Ni kumwachia Mungu tuu maumivu ya waliopata madhara na waliofariki kwa sababu wao na wanaowatetea hawaoni ni kosa Mungu ndiye akimu wa kweli siku ya Mwisho
 
Si umerudi pale pale tulipoanzia mwanzo? Umewahukum masheikh wa watu kwa kuwatuhum tuhuma nzito nzito...nikasema tuache vyombo husika vifanye kazi zao. Nikakuuliza unauhakika hawa wanahusika na tuhuma zote zimeandikwa hapo juu?

Bora unstambua kwamba hakimu wa kweli na anaetoa haki ni Mungu pekee.
 
Back
Top Bottom