Ibrahimu Zuberi Mkondo
Member
- Sep 19, 2019
- 43
- 383
Bismillahir Rahmanir Rahiim
SHURA YA MAIMAMU TANZANIA
MASHEIKH WAITWA MAHAKAMA YA RUFAA TANZANIA
Habari njema. Baada ya Jamhuri kukata rufaa dhidi ya uamuzi wa Mahakama Kuu wa kuyafuta mashitaka 14, kati ya 25, na kufanya kesi dhidi ya Masheikh ibaki na mashitaka 11, Mahakama ya Rufani leo tarehe 30. 04. 20021, imewasilisha hati ya wito kwa Mawakili wanaowatetea Masheikh.
Kwa mujibu wa hati hiyo ya wito Mahakama ya Rufani imepanga kuisikiza rufaa hiyo tarehe 07. 05. 2021, siku ya Ijumaa saa 3, asubuhi mbele ya Majaji wa Rufaa watatu.
Hatua hii ya haraka ya Mahakama inaashiria kuwepo kwa dhamira ya mapinduzi katika utendaji wa Mahakama Tanzania na tunaimani mwendo huo utakuwa endelevu.
Shura ya Maimamu Tanzania tunawaomba wananchi kuwa karibu na kesi hizi za ugaidi zilizofunguliwa na serikali dhidi ya Waislamu takriban nchi nzima.
Ust. Ibrahim Z. Mkondo
Msemaji wa Shura.
0713118812