Najaribu kuunganisha Kesi ya maimamu wa uamsho na Kesi ya mauaji ya Lulu aliyetoka kwa Msamaha Leo. Hawa masheikh hawajaua wala kumuibia mtu. Huu ni mwaka wa nne wako ndani, haijulikani mwisho wao.
Binafsi sioni tofauti ya walichokifanya hawa masheikh na waraka wa Maaskofu Wa KKKT, au anachofanya askofu Kakobe au Gwajima! Ama hakika haki iko mbinguni na siku ya hukumu ipo