chinchilla coat
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 5,107
- 10,968
Kesi ya inayomkabili raia wa China maarufu kama malkia wa pembe za tembo imeahirishwa tena leo hadi Julai 4 huku upande wa utetezi ukidai kuwa kuahirishwa huko kunakiuka haki za binadamu za mteja wake kwa kuwa kesi hiyo imekuwa ikipigwa kalenda kila mara