Sungurampole
JF-Expert Member
- Nov 17, 2007
- 984
- 205
Tumepata taarifa kuwa kesi ya madiwani wa CHADEMA kupinga kufukuzwa uwanachama imetupwa. Sasa nini kinafuata? Labda wajaribu kete yao kwa Mkuchika au Tendwa
Nasikia wanakuja Igunga kumpigia kampeni mgombea wa CCM Dalali wa walalahoi.Tumepata taarifa kuwa kesi ya madiwani wa CHADEMA kupinga kufukuzwa uwanachama imetupwa. Sasa nini kinafuata? Labda wajaribu kete yao kwa Mkuchika au Tendwa
Pinda aliwaambia waende mahakamani...na wao kwa kufikiria kwa masaburi yao wakaenda kweli..Maskini wameangukia pua.Nasikia wawili hawakuenda siku ya hukumu kuogopa aibu.na ukweli sasa umeonekana...sometimes napenda maamuzi magumu ili kujenga...CHADEMA OYEEEEEEEEEEEEEEEEEE...mwanangu wa kiume sijui nimwite Chadema?????