Kesi ya madiwani wa CHADEMA Arusha imekwisha - what next?

Sungurampole

JF-Expert Member
Nov 17, 2007
984
205
Tumepata taarifa kuwa kesi ya madiwani wa CHADEMA kupinga kufukuzwa uwanachama imetupwa. Sasa nini kinafuata? Labda wajaribu kete yao kwa Mkuchika au Tendwa
 
Mi nawalaumu CCM Kuwandanganya hao madiwani, sasa mwisho wa safari yao kisiasa umekwisha unless wote wapokelewe CCM. na hata hivyo kutetea kata zao ni ndoto ya mchana.

Ni vizuri kuwa kama mbayuwayu badala ya kondoo mwangalia chini chini bila reasoning -- Majuto kwa kawaida huwa ni Mjukuu.
 
Hakuna chochote kinachofuata hapo...
Ukisiakia kuangukia pua ndiko huko!
 
Pinda aliwaambia waende mahakamani...na wao kwa kufikiria kwa masaburi yao wakaenda kweli..Maskini wameangukia pua.Nasikia wawili hawakuenda siku ya hukumu kuogopa aibu.na ukweli sasa umeonekana...sometimes napenda maamuzi magumu ili kujenga...CHADEMA OYEEEEEEEEEEEEEEEEEE...mwanangu wa kiume sijui nimwite Chadema?????
 
Kifuatacho ni uchaguzi na sis Chademai tupo tayari kurudisha kata zote, kimsingi wamevuna walichopanda
 
Tumepata taarifa kuwa kesi ya madiwani wa CHADEMA kupinga kufukuzwa uwanachama imetupwa. Sasa nini kinafuata? Labda wajaribu kete yao kwa Mkuchika au Tendwa
Nasikia wanakuja Igunga kumpigia kampeni mgombea wa CCM Dalali wa walalahoi.
 
Hongera CHADEMA kwa maamuz magumu ya kuwatimua hao madiwani,walikuwa ni wasaliti na watu wasaliti hawaitajiki cdm
By ze way hao madiwani wajifunze next tym wacdanganyike ingawa kisiasa ndo Kwishne kabisa
I belv chaguz mpya ya madiwan A TOWN hamta2tupa mkono mtate2a kata zote 5 na ha2itaji wasaliti tena
Viva 4ever CDM
PONGEZ za zat kwa wananchi wa A town waliokubaliana na kamat kuu bila kusahau mahakama iliyo2pilia mbal hlo pingamiz
Kaz ni kwenu MAGAMBA start wit MKUCHIKA n ze advisor PINDA
PPOZ.........!
 
Mkuu,
Hao si madiwani tena. Kinachofuata ni Kiravu kutangaza kata ya Elerai, Themi, Kaloleni, na Kimandolu kuwa wazi na tar ya uchaguzi. Na kwakuwa wananchi wa hizo kata wapo pamoja na chama chao cha cdm, kinachofuata ni cdm kututeulia wagombea wenye mapenzi mema na jiji letu tuwatume halmashauri wakatuwakilishe. Zaidi ni hamu yetu ya kuona mahakama ikiendelea kutoa haki kwa kufutilia mbali kesi za cdm na kumpiga chini meya feki anayelindwa na ccm!
 
Thanks for that,but CDM should move forward to Second Revolution in Tanzania
 
Pinda aliwaambia waende mahakamani...na wao kwa kufikiria kwa masaburi yao wakaenda kweli..Maskini wameangukia pua.Nasikia wawili hawakuenda siku ya hukumu kuogopa aibu.na ukweli sasa umeonekana...sometimes napenda maamuzi magumu ili kujenga...CHADEMA OYEEEEEEEEEEEEEEEEEE...mwanangu wa kiume sijui nimwite Chadema?????

Gharama za kesi lazima walipe namsikitikia sana Rasta nilisikia juzi akilalamika na kujuta anyway ajali ya kisiasa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom