Kesi ya Lema: Maswali matano magumu kujibika, mepesi kuulizwa

Hata hao walioLIKE hii post yako wajipime kiwango cha ubongo kwenye vichwa vyao. KESI ZA JINAI SI SAWA NA SUALA LA NDOA AU ARDHI. UKIFANYA JINAI, ANAYEWEZA KUKUSHITAKI NI JAMHURI TU, sasa sijui hao mawakili unaowazungumzia wanaanzia wapi kufungua hayo mashtaka!
lissu ni mwanasheria na analist of shame inayoonesha viongozi waliofilisi nchi, mnyika anadai anahushaidi yahuo ufisadi, kwa nini wabaki na maneno pasipo hatua, think big
 
1478154751994.jpg
 
Ingekua zamani mngewahamasisha wananchi kuandamana....ila kwakua wamemuelewa JPM saa hizi wako Kilombero wanafaanya biashara,wengine wapo mashambani na wengine wako busy na bodaboda....Hapa Kazi Tu Magufuli Kanyaga Twende.
Vipi unatokea kijiji cha katerero ?au mto ngono ? Hilo jina lako linasadifu ulicho kisema hapo juu
 
lissu ni mwanasheria na analist of shame inayoonesha viongozi waliofilisi nchi, mnyika anadai anahushaidi yahuo ufisadi, kwa nini wabaki na maneno pasipo hatua, think big
Saa nyingine tumia muda wako kutambua mazingira yako. Inaonekana kichwa chako kigumu sana. Nimekuambia hivi, sheria mwenendo wa makosa ya jinai, haumpi fursa raia kufungua kesi ya jinai. Ni jamhuri peke yake ndio inaweza kumfungulia mtuhumiwa kosa la jinai.

Leo hii, nikikupiga makofi (which is likely) ukaenda kunishtaki polisi, ni Jamhuhi ndio itanifungulia kesi mahakamani sio wewe, wewe utakuwa tu shahidi namba moja na mashavu yako yenye alama za vidole.
 
La kwanza, iwapo kila mshtakiwa yuko huru hadi atakapokutwa na hatia na Mahakama na iwapo dhamana ni haki kwa kila mshtakiwa (ikiwa tu shtaka lake linadhaminika), kwanini kuna mkwamo mkubwa kwenye dhamana ya Mbunge Godbless Lema wa Arusha Mjini ikiwa mashtaka yake yanadhaminika?

La pili, iwapo Mshtaki/Jamhuri (Mkurugenzi wa Mashtaka nchini-DPP) ana kesi zenye ushahidi na uzito wa hoja dhidi ya mshtakiwa Godbless Lema na iwapo kuna nafasi ya kuharakisha upelelezi na kuanza kusikilizwa kwa kesi za msingi, kwanini Jamhuri inatumia nguvu kubwa kwenye suala la dhamana?

La tatu, Mawakili wa Lema kwasasa wanapaswa kufanya nini hasa wakati huu ambapo Jamhuri imeshafika Mahakama ya Rufaa kupinga ruhusa ya Lema kukata rufaa, dhidi ya uamuzi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi kukataa kutoa dhamana, nje ya muda?

La nne, Jamhuri ina sababu gani kubwa na ya kisheria ya kuzuia kupewa dhamana kwa mshtakiwa Godbless Lema kwa mashtaka mawili yanayomkabili?

La tano, siku Mbunge na mshtakiwa Lema akikataliwa kabisa dhamana au akikubaliwa dhamana na kuachiwa kuendelea na kesi zake akitokea uraiani, hali itakuwaje na kwa faida ya nani?
Petro,

Maswali yako ni mazuri sana na yana mantiki.

Tatizo ninaloliona ni kuwa serikali imeamua kupinga hiyo dhamana..na wataendelea kupinga.

Mawakili wa Lema wamefanya kosa moja kubwa, walilichukulia hili swala pasipo uzito stahili (underestimating issues). Walidhani wakifika mahakamani watapewa dhamana tu kama kawaida (as a matter of course) wakakwama...ghafla wakajikuta wamenasa kwenye mtego wa kanuni za mahakama.
Kusema kweli kanuni hizi ni ngumu na hunyima sana haki..na wakati mwingine hazina mantiki kabisa (some court rules are neither just, logical or objective). Na wasipojinasua katika huu mtego wa kanuni swala la dhamana ya Lema linaeweza kuchukua zaidi ya mwaka mmoja kumalizika.

Naamini wanasheria na watu wengi waliokwisha kumbana na shuruba za mahakama watakubaliana nami kuwa, katika swala hili mahakama zimejitahidi sana kupeleka hii kesi kwa spidi kubwa...si watu wengi wanapata "bahati" ya kesi zao kupangiwa kwa uharaka hivi na haswa katika kipindi cha likizo mwisho wa mwaka.

Mawakili wa Lema wanatakiwa kuzinduka.
 
Hivi mkuu hujiulizi kwa nini chama chetu kimesinyaa sana siku hizi?

Tatizo ni mbowe mkuu...amekuwa diluted na Lowasaism

Can you imagine mbunge wa chama yuko jela siku zote hizo na mwenyekiti wa chama hajawahi kuthubutu hata kwenda kumuona
acha masihala mkuu.. Mbowe hajafika kisongo kumuona lema????? hii ni kiboko
 
Jibu kuu ni kwamba huu ni mpango wa Mungu mwenyewe hakuna cha maswali ya kisheria wala nini. Bali yako makusudi ya Mungu ambayo ndiyo yanayosababisha mambo yote haya. Usipokuwa rohoni hamuwezi kuyatambua mambo haya kwani si mepesi kihivyo
 
Petro,

Maswali yako ni mazuri sana na yana mantiki.

Tatizo ninaloliona ni kuwa serikali imeamua kupinga hiyo dhamana..na wataendelea kupinga.

Mawakili wa Lema wamefanya kosa moja kubwa, walilichukulia hili swala pasipo uzito stahili (underestimating issues). Walidhani wakifika mahakamani watapewa dhamana tu kama kawaida (as a matter of course) wakakwama...ghafla wakajikuta wamenasa kwenye mtego wa kanuni za mahakama.
Kusema kweli kanuni hizi ni ngumu na hunyima sana haki..na wakati mwingine hazina mantiki kabisa (some court rules are neither just, logical or objective). Na wasipojinasua katika huu mtego wa kanuni swala la dhamana ya Lema linaeweza kuchukua zaidi ya mwaka mmoja kumalizika.

Naamini wanasheria na watu wengi waliokwisha kumbana na shuruba za mahakama watakubaliana nami kuwa, katika swala hili mahakama zimejitahidi sana kupeleka hii kesi kwa spidi kubwa...si watu wengi wanapata "bahati" ya kesi zao kupangiwa kwa uharaka hivi na haswa katika kipindi cha likizo mwisho wa mwaka.

Mawakili wa Lema wanatakiwa kuzinduka.

Sikubaliani na wewe hata kidogo! Mahakama zina wajibu wa kutafsiri sheria na kutoa haki. Tuliosoma sheria tulifundishwa kuwa kanuni (procedures) haziwezi kutumiwa kuzuia haki (justice). Swali la kwanza mahakama inapaswa kujiuliza mara mtuhumiwa anapofikishwa mahakamani ni je kosa analoshtakiwa linastahili dhamana? Kama jibu ni ndio basi unatoa dhamana. Na ndivyo ilivyofanyika mara ya kwanza Lema alipofikishwa mahakamani. Kinachoshangaza ni kwamba Hakimu alikwishatupilia mbali hoja zote za serikali za kupinga dhamana na alikuwa ametoa dhamana ila alipotaka kuweka masharti ndio serikali wakaja ni kibwagizo cha notisi ya kukata rufaa mahakama kuu. Shughuli hiyo hiyo wameirudia saa hizi kupinga maamuzi ya mahakama kuu, maana walishashindwa.

Kinachonishangaza ni hata majaji wa mahakama kuu kukubaliana na huu upuuzi wa mawakili wa serikali. Kila siku tunalalamika kesi zinachukua muda mrefu mahakamani na moja ya sababu ni mawakili kuweka mapingamizi yasiyo na msingi ili kuchelewesha. Sasa jaji wa mahakama kuu anakubalianaje na notisi za namna hiyo, wakati anajua Lema anatuhumiwa na kosa lenye dhamana? Haingii akilini jaji mzima wa mahakama kuu anakubali kutumika na mawakili wa serikali kurefusha kusikiliza maombi ya dhamana kisa kuna notisi ya rufaa, isiyo na kichwa wala miguu! Haiwezekani maombi ya dhamana pekee yakachukua zaidi ya miezi miwili bila kusikilizwa kisa mawakili vihiyo wa serikali wanaijaribu maahakama nayo inakubali kujaribiwa. Wanasheria wenzangu mtanisaidia, kwa utaratibu huu, ni kuwa mteja wangu anapokutwa na hatia (convicted), kabla ya hukumu, naweza kuweka notisi ya rufaa kisha mteja wangu atakuwa huru mpaka mahakama ya juu itakapoamua rufaa? Au ninaelewa vibaya.

Pamoja na kwamba nia ya serikali ni kumkomoa Lema na upinzani kwa ujumla, ni vyema Jaji Mkuu na Jaji Kiongozi, wakaelewa kuwa, mahakama pia inaridhia ucheleweshwaji wa kesi mahakamani bila sababu za msingi. Kama mnakubali kuchelewesha, kwa makusudi, kusilikiliza maombi ya dhmana, kwa makosa ambayo yana dhamana, mtatuaminishaje kuwa mna nia ya dhati ya kuharikisha utoaji wa haki kwenye maeneo mengine nchini?
 
endapo dola inaendesha itakavyo yenyewe basi kitakachotokea...namaanisha hukumu ..ambayo itakuwa ni kwa kosa la jinai itamfanya Lema asiwe na haki ya kikatiba kugombea nafasi za kisiasa...Na ataondolewa ubunge

Na hicho ndicho ninachokiona
Aondolewe tu ubunge,
Kazi inayomfaa ni kanisani, huwezi kutumikia mabwana wawili!
 
Sikubaliani na wewe hata kidogo! Mahakama zina wajibu wa kutafsiri sheria na kutoa haki. Tuliosoma sheria tulifundishwa kuwa kanuni (procedures) haziwezi kutumiwa kuzuia haki (justice). Swali la kwanza mahakama inapaswa kujiuliza mara mtuhumiwa anapofikishwa mahakamani ni je kosa analoshtakiwa linastahili dhamana? Kama jibu ni ndio basi unatoa dhamana. Na ndivyo ilivyofanyika mara ya kwanza Lema alipofikishwa mahakamani. Kinachoshangaza ni kwamba Hakimu alikwishatupilia mbali hoja zote za serikali za kupinga dhamana na alikuwa ametoa dhamana ila alipotaka kuweka masharti ndio serikali wakaja ni kibwagizo cha notisi ya kukata rufaa mahakama kuu. Shughuli hiyo hiyo wameirudia saa hizi kupinga maamuzi ya mahakama kuu, maana walishashindwa.

Kinachonishangaza ni hata majaji wa mahakama kuu kukubaliana na huu upuuzi wa mawakili wa serikali. Kila siku tunalalamika kesi zinachukua muda mrefu mahakamani na moja ya sababu ni mawakili kuweka mapingamizi yasiyo na msingi ili kuchelewesha. Sasa jaji wa mahakama kuu anakubalianaje na notisi za namna hiyo, wakati anajua Lema anatuhumiwa na kosa lenye dhamana? Haingii akilini jaji mzima wa mahakama kuu anakubali kutumika na mawakili wa serikali kurefusha kusikiliza maombi ya dhamana kisa kuna notisi ya rufaa, isiyo na kichwa wala miguu! Haiwezekani maombi ya dhamana pekee yakachukua zaidi ya miezi miwili bila kusikilizwa kisa mawakili vihiyo wa serikali wanaijaribu maahakama nayo inakubali kujaribiwa. Wanasheria wenzangu mtanisaidia, kwa utaratibu huu, ni kuwa mteja wangu anapokutwa na hatia (convicted), kabla ya hukumu, naweza kuweka notisi ya rufaa kisha mteja wangu atakuwa huru mpaka mahakama ya juu itakapoamua rufaa? Au ninaelewa vibaya.

Pamoja na kwamba nia ya serikali ni kumkomoa Lema na upinzani kwa ujumla, ni vyema Jaji Mkuu na Jaji Kiongozi, wakaelewa kuwa, mahakama pia inaridhia ucheleweshwaji wa kesi mahakamani bila sababu za msingi. Kama mnakubali kuchelewesha, kwa makusudi, kusilikiliza maombi ya dhmana, kwa makosa ambayo yana dhamana, mtatuaminishaje kuwa mna nia ya dhati ya kuharikisha utoaji wa haki kwenye maeneo mengine nchini?
Sioni ulicho andika hapa zaidi ya kulialia tuuu...dhamana haitolewi kama karanga bali inapiganiwa hata kama una haki ya kupewa ndio lazima uimbe dhamana na hupewi bila kuiomba na kujenga hoja....
 
Ninafahamu kuwa Petro ni mwanasheria, na pia kuna wanasheria wengi humu watakaokubaliana namimi ingawa utaalam wangu wa sheria na mambo ya mahakama si mkubwa sana.
Mahakama hutekeleza sheria "kama zilivyo" na sio "kama zinavyopaswa kuwa".
Pia sheria na haki ni vitu viwili tofauti na matokeo yake mara nyingi ni tofauti.

Na inapotokea kuna mzozo wa kikanuni basi mahakama hutekelza maswala ya kikanuni hata kama ni wazi mwisho wake itakuwaje.
Na wakiruka au kuvunja kanuni ili tu kufikia mwisho basi uamzi ule unakuwa ni batili na hufutiliwa mbali (hata kama ni wazi kuwa uamzi huo wa mwisho ulikuwa ndo sahihi).
 
Wapi niliposema dhamana inatolewa kama karanga? Kumshindwa Lema katika sanduku la kura ndio kumejenga chuki ya namna hii? Tujadiliane hoja, kama zipo. Chuki hazijengi, na wala sidhani kama jimbo la Arusha halipatikani hivyo.
 
Lema mngemwacha tuu, yeye ndio anapenda kukaa gerezani ili aonekane shujaa, ina maana nyie hamjamwelewa tuu Lema jamani.

yeye mwenyewe keshasema anaona raha sana kukaa na kuwasikliza vijana walioko gerezani kimakosa, anajifunza mengi kutoka kwao. na huwezi kuwapata hawa vijana isipokuwa hukohuko gerezani.

kwa hiyo mwacheni Lema jamani, si ajabu anafanya zake research huko gerezani, who knows.?
 
Na aliwambia waache kumtafutia dhamana lakini hawasikii...
 
Ninafahamu kuwa Petro ni mwanasheria, na pia kuna wanasheria wengi humu watakaokubaliana namimi ingawa utaalam wangu wa sheria na mambo ya mahakama si mkubwa sana.
Mahakama hutekeleza sheria "kama zilivyo" na sio "kama zinavyopaswa kuwa".
Pia sheria na haki ni vitu viwili tofauti na matokeo yake mara nyingi ni tofauti.

Na inapotokea kuna mzozo wa kikanuni basi mahakama hutekelza maswala ya kikanuni hata kama ni wazi mwisho wake itakuwaje.
Na wakiruka au kuvunja kanuni ili tu kufikia mwisho basi uamzi ule unakuwa ni batili na hufutiliwa mbali (hata kama ni wazi kuwa uamzi huo wa mwisho ulikuwa ndo sahihi).
Kwenye nyekundu yaweza kuwa kweli kwa wakati fulani tu na sio kila mara. Katika kesi ya Lema sheria (kwa maana ya substantive law) wala haijatumika. Wanachobishania ni taratibu tu (procedural law). Ndio maana nimesema ni upuuzi kumshikilia mtu rumande kwa miezi miwili na ushee ili wanasheria vihiyo wa serikali wajaribu uelewa wao wa procedural law. Kwa kifupi si haki kutumia malumbano ya taratibu za kisheria tu kumuadhibu mtu! Hata kama mawakili wa serikali, au yeyote yule, wanataka hivyo. Mahakama ilipaswa ikatae, hata kabla mawakili wa Lema hawajasema chochote.
 
Back
Top Bottom