Kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi Sumbawanga mjini!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi Sumbawanga mjini!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Gwaks makono, Apr 30, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. G

  Gwaks makono Senior Member

  #1
  Apr 30, 2012
  Joined: Aug 27, 2011
  Messages: 110
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mbunge wa sumbawanga mjini ubunge wake kutenguliwa kama godbles lema! hukumu ya kesi ni leo,.
   
 2. twatwatwa

  twatwatwa JF-Expert Member

  #2
  Apr 30, 2012
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 2,036
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Magamba washindwe walegehe
   
 3. Mpui Lyazumbi

  Mpui Lyazumbi JF-Expert Member

  #3
  Apr 30, 2012
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 1,853
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Hukumu haijaanza kusomwa, watu ni wengi eneo la mahakama kuu na mitaa inayoelekea huko. Vijana ni wengi sana. Hakuna fununu nani kashinda. Njia kuelekea mahakama kuu zimefungwa kwa magari ya raia, isipokuwa kwa maaskari. Hali ni tulivu sana!
   
 4. BJBM

  BJBM JF-Expert Member

  #4
  Apr 30, 2012
  Joined: Nov 25, 2011
  Messages: 545
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 60
  tupe update zaid.
   
 5. Mpui Lyazumbi

  Mpui Lyazumbi JF-Expert Member

  #5
  Apr 30, 2012
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 1,853
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Majukumu mengi yamenibana. Tutajazia pale panapohitajika. Siku njema.
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...