Kesi ya kina Mbowe: Wakili John Mallya naye alimbananisha SSP Ngichi

Mbowe anashtakiwa na nan?

Kama ni jamuhuri ya muungano basi mbowe atashinda maana jamuhuri huwa inashinda kesi za ubakaji tu
 
hii kesi imekaa kisiasa na inatuchafua kama nchi, yaani serikali ya CCM inatuchafua sisi kama nchi
 
Sehemu ya mahojiano kati ya Wakili msomi John Malya na Mkuu wa upelelezi mkoa wa kipolisi Kinondoni, Mrakibu mwandamizi wa Polisi (SSP) Gerald Ngichi.

MALYA: Una miaka mingapi?

SSP Ngichi: 47

MALYA: Ulizaliwa mwaka gani?

SSP Ngichi: 1972

MALYA: Wakati unajiunga na Jeshi la Polisi ulikuwa na Miaka mingapi?

SSP Ngichi: Kimya

HAKIMU: Shahidi jibu tafadhali

MALYA: Kama hukumbuki nikusaidie?

SSP Ngichi: Nilikua na miaka 28

MALYA: Ulikuwa na taaluma gani?

SSP Ngichi: Degree ya Sheria

MALYA: Kwa mujibu wa PGO ni sahihi kwamba mtu akiwa na miaka 28 haruhusiwi kujiunga na jeshi la Polisi?

SSP Ngichi: Inategemea na elimu yake

MALYA: Kesi unayoitolea ushahidi inahusiana na maswala ya uchaguzi nyinyi kama wadau mlipewa elimu juu ya usimamizi wa uchaguzi?

SSP Ngichi: Natolea ushahidi kesi ya maandamano sio mambo ya uchaguzi

MALYA: Lakini hayo maandamano si yanatokana na uchaguzi?

SSP Ngichi: Ndio

MALYA: Ulipewa ratiba ya mikutano ya vyama vya siasa?

SSP Ngichi: Ndio

MALYA: Nani alikupatia?

SSP Ngichi: RPC Kinondoni

MALYA: Yeye alipewa na nani?

SSP Ngichi: Mkurugenzi wa Manispaa Kinondoni

MALYA: Kifungu cha 51 (5) cha sheria ya Uchaguzi kinamtaka Mkuu wa Wilaya ndiye awape polisi nakala ya Ratiba za kampeni. Kwa kifungu hiki, huoni kwamba mmevunja sheria?

SSP Ngichi: Kimya

MALYA: Vituo vya kupiga kura vilikuwa vingapi?

SSP Ngichi: Vingi sikumbuki idadi yake

MALYA: Unasimamiaje uchaguzi ambao hujui hata idadi ya vituo?

SSP Ngichi: Vilikua zaidi ya Hamsini

MALYA: Unafahamu mawakala lazima wale kiapo?

SSP Ngichi: Ndio

MALYA: Unafahamu kila mgombea anaweka utaratibu na Mkurugenzi wa namna mawakala wake kuapa?

SSP Ngichi: Ndio

MALYA: Kwahiyo mlifanya makosa kuvuruga mawakala wa Chadema kwenda kuapa?

SSP Ngichi: Walifanya maandamano yasiyo halali

MALYA: Ulijuaje ni maandamano?

SSP Ngichi: Walivuka barabara

MALYA: kama walivuka barabara ulijuaje kama walikuwa wanafanya kampeni za nyumba kwa nyumba?

SSP Ngichi: Hazifanyiki barabarani

MALYA: Zinafanyika wapi?

SSP Ngichi: Nyumbani

MALYA: Ili ufike nyumbani unapita wapi?

SSP Ngichi: Barabarani

MALYA: Kwahiyo unakubali walikua wanavuka barabara ili wakafanye kampeni za nyumba kwa nyumba?

SSP Ngichi: Waliandamana

MALYA: Kwanini?

SSP Ngichi: Kwa sababu walikua na viongozi wao

MALYA: Wataje

SSP Ngichi: Heche, Matiko, Msigwa na wengine

MALYA: Unajua sifa za mtu kuwa wakala?

SSP Ngichi: Hapana

MALYA: Unajua Heche alikua Wakala?

SSP Ngichi: Sifahamu

MALYA: Unajua Matiko alikua wakala?

SSP Ngichi: Sifahamu

MALYA: Unajua Msigwa alikua Wakala?

SSP Ngichi: Sifahamu

MALYA: Je unakubali kwamba viongozi hao walikua wanaongozana na mawakala wenzao kwenda kwa Mkurugenzi kula kiapo?

SSP Ngichi: Kimya

Hawa jamaa watamuua huyu SSP NGICHIView attachment 1098288
Ndiyo akome kutumika kiboya.
 
_
MALYA: Ulipojiunga na Jeshi la polisi ulikuwa na miaka mingapi?

SSP Ngichi: 28

MALYA: Kwa mujibu wa PGO ni sahihi kwamba mtu akiwa na miaka 28 haruhusiwi kujiunga na jeshi la Polisi?

SSP Ngichi: Inategemea na elimu yake

MALYA: Kesi unayoitolea ushahidi inahusiana na maswala ya uchaguzi, nyie kama wadau mlipewa elimu ya usimamizi wa uchaguzi?

SSP Ngichi: Natolea ushahidi kesi ya maandamano sio mambo ya uchaguzi

MALYA: Lakini hayo maandamano si yanatokana na uchaguzi?

SSP Ngichi: Ndio

MALYA: Ulipewa ratiba ya mikutano ya vyama vya siasa?

SSP Ngichi: Ndio

MALYA: Nani alikupatia?

SSP Ngichi: RPC Kinondoni

MALYA: Yeye alipewa na nani?

SSP Ngichi: Mkurugenzi wa Manispaa Kinondoni

MALYA: Kifungu cha 51 (5) cha sheria ya Uchaguzi kinamtaka Mkuu wa Wilaya ndiye awape polisi nakala ya Ratiba za kampeni. Kwa kifungu hiki, huoni kwamba mmevunja sheria?

SSP Ngichi: Kimya

MALYA: Vituo vya kupiga kura vilikuwa vingapi?

SSP Ngichi: Sikumbuki idadi yake

MALYA: RCO unasimamiaje uchaguzi ambao hujui hata idadi ya vituo?

SSP Ngichi: Vilikua zaidi ya hamsini

MALYA: Unafahamu mawakala lazima wale kiapo?

SSP Ngichi: Ndio

MALYA: Unafahamu kila mgombea anaweka utaratibu na Mkurugenzi wa namna mawakala wake kuapa?

SSP Ngichi: Ndio

MALYA: Kwahiyo mlifanya makosa kuvuruga mawakala wa Chadema kwenda kuapa?

SSP Ngichi: Walifanya maandamano

MALYA: Ulijuaje ni maandamano?

SSP Ngichi: Walivuka barabara

MALYA: kama walivuka barabara ulijuaje kama walikuwa wanafanya kampeni za nyumba kwa nyumba?

SSP Ngichi: Hazifanyiki barabarani

MALYA: Zinafanyika wapi?

SSP Ngichi: Nyumbani

MALYA: Ili ufike nyumbani unapita wapi?

SSP Ngichi: Barabarani

MALYA: Kwahiyo unakubali walikua wanavuka barabara ili wakafanye kampeni za nyumba kwa nyumba?

SSP Ngichi: Waliandamana

MALYA: Kwanini?

SSP Ngichi: Kwa sababu walikua na viongozi wao

MALYA: Wataje

SSP Ngichi: Heche, Matiko, Msigwa na wengine

MALYA: Unajua sifa za mtu kuwa wakala?

SSP Ngichi: Hapana

MALYA: Unajua kuwa Heche, Matiko na Msigwa walikua mawakala?

SSP Ngichi: Sifahamu

MALYA: Je unakubali kwamba viongozi hao walikua wanaongozana na mawakala wenzao kwenda kwa Mkurugenzi kula kiapo?

SSP Ngichi: Kimya
Kitu "ngichi"....

Napendekeza BAKITA waongeze neno msamiati mpya ngichi kwenye Kamusi yao ya Kiswahili sanifu
 
MALYA: Vituo vya kupiga kura vilikuwa vingapi?

SSP Ngichi: Sikumbuki idadi yake

MALYA: RCO unasimamiaje uchaguzi ambao hujui hata idadi ya vituo?

emoji654.png
Ni sawa na kumtaka mwanafunzi (STD VII, F4, F6, UE nk.k) ajue wanafunzi wanaoganya mtihani ni wangapi.

"These qn even if are not answered, they do not go to the root of the case"
Hakuulizwa wapiga kura wangapi kaulizwa vituo vya kupigia kura vilikuwa vingapi. Ni sawa na kumuuliza mwanafunzi una masomo mangapi na sio mpo wanafunzi wangapi

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Nimecheka kweli hawa walala nje ni wasumbufu ila wakifika kwa court hawana lolote.
Jichanganye siku moja ushikwe, ndio utajua hawa jamaa wakoje, usije zuzuliwa na kesi za kizandiki kama hii, ukapata ujasiri hewa, waulize waliosikiliza kesi ya sheikh ponda watakwambia hali ilikuwaje.

Ndio maana hata hao mawakili wanajiamulia tu wapige wapi!!!!
 
_
MALYA: Ulipojiunga na Jeshi la polisi ulikuwa na miaka mingapi?

SSP Ngichi: 28

MALYA: Kwa mujibu wa PGO ni sahihi kwamba mtu akiwa na miaka 28 haruhusiwi kujiunga na jeshi la Polisi?

SSP Ngichi: Inategemea na elimu yake

MALYA: Kesi unayoitolea ushahidi inahusiana na maswala ya uchaguzi, nyie kama wadau mlipewa elimu ya usimamizi wa uchaguzi?

SSP Ngichi: Natolea ushahidi kesi ya maandamano sio mambo ya uchaguzi

MALYA: Lakini hayo maandamano si yanatokana na uchaguzi?

SSP Ngichi: Ndio

MALYA: Ulipewa ratiba ya mikutano ya vyama vya siasa?

SSP Ngichi: Ndio

MALYA: Nani alikupatia?

SSP Ngichi: RPC Kinondoni

MALYA: Yeye alipewa na nani?

SSP Ngichi: Mkurugenzi wa Manispaa Kinondoni

MALYA: Kifungu cha 51 (5) cha sheria ya Uchaguzi kinamtaka Mkuu wa Wilaya ndiye awape polisi nakala ya Ratiba za kampeni. Kwa kifungu hiki, huoni kwamba mmevunja sheria?

SSP Ngichi: Kimya

MALYA: Vituo vya kupiga kura vilikuwa vingapi?

SSP Ngichi: Sikumbuki idadi yake

MALYA: RCO unasimamiaje uchaguzi ambao hujui hata idadi ya vituo?

SSP Ngichi: Vilikua zaidi ya hamsini

MALYA: Unafahamu mawakala lazima wale kiapo?

SSP Ngichi: Ndio

MALYA: Unafahamu kila mgombea anaweka utaratibu na Mkurugenzi wa namna mawakala wake kuapa?

SSP Ngichi: Ndio

MALYA: Kwahiyo mlifanya makosa kuvuruga mawakala wa Chadema kwenda kuapa?

SSP Ngichi: Walifanya maandamano

MALYA: Ulijuaje ni maandamano?

SSP Ngichi: Walivuka barabara

MALYA: kama walivuka barabara ulijuaje kama walikuwa wanafanya kampeni za nyumba kwa nyumba?

SSP Ngichi: Hazifanyiki barabarani

MALYA: Zinafanyika wapi?

SSP Ngichi: Nyumbani

MALYA: Ili ufike nyumbani unapita wapi?

SSP Ngichi: Barabarani

MALYA: Kwahiyo unakubali walikua wanavuka barabara ili wakafanye kampeni za nyumba kwa nyumba?

SSP Ngichi: Waliandamana

MALYA: Kwanini?

SSP Ngichi: Kwa sababu walikua na viongozi wao

MALYA: Wataje

SSP Ngichi: Heche, Matiko, Msigwa na wengine

MALYA: Unajua sifa za mtu kuwa wakala?

SSP Ngichi: Hapana

MALYA: Unajua kuwa Heche, Matiko na Msigwa walikua mawakala?

SSP Ngichi: Sifahamu

MALYA: Je unakubali kwamba viongozi hao walikua wanaongozana na mawakala wenzao kwenda kwa Mkurugenzi kula kiapo?

SSP Ngichi: Kimya
Knockouts za kufa mtu, hii kesi ifutwe tu ili.hawa polisi wapate usingizi jamani, serikali mnawanyanyasa polisi wetu kutetea ujinga wa ccm si kazi rahisi.
 
Ngichi anadhihirisha jinsi gani upolisi hata usome vipi hauelimiki
Hapana wameelimika ispokuwa kutetea uongo na kudanya kazi za kinyume na sheria kama walivyofanya kw kutumwa na ccm ndio wanaonekan ni weupe lakini sio.
 
Back
Top Bottom