Kesi ya kina Mbowe kweli ni ya ugaidi ukweli?

ubongokid

JF-Expert Member
Apr 30, 2017
2,030
3,906
Tangu kesi ya Mbowe na wenzake ianze nimekuwa nikiisoma kwa umbali na ukaribu.

Katika nyakati mbalimbali nimewahi zungumzia kuhusia UGAIDI hasa ule unaotendwa na Mamlaka au kusababishwa na Mamlaka ambao huwa unaitwa "STATIE SANCTIONED TERRORISM"

Kesi hii washtakiwa karibu wote ni MAKOMANDO" au Special Forces.

Kesi Hii washtaki wote ni kikundi maalum cha kipolisi (TASK FORCE) ambao wote kwa karibu wanaonekana kuwa wametesa na kuua watu wengi na kwamba hata hawa waliofikishwa mahakamani waliponea kwa neema za MUNGU.

Hii kesi ni kesi ya Magaidi na Magaidi wenyewe ni wale wa upande Mashtaka yaani wakina Kingai na Wenzake.

Haihitaji akili kubwa sana kuliona hili.Wao wanaweza wakafikiri wako katika jitihada za kutaka kuthibitisha UGAIDI wa kina MBOWE lakini kwa hakika wako katika JITIHADA za kujitetea.Kwa kiasi kikubwa hii staili ya KESI KUBWA NDANI YA KESI ndogo imethibitisha kabisa kwamba SASA Hawa askari POLISI ambao wanatokea kama mashahidi sasa Wao ndio watuhumiwa katika KESI hii.TUHUMA ZAO ni kesi za UGAIDI na UHUJUMU UCHUMI.

Niwapongeze jopo la mashahidi wakiongozwa na MSOMI KIBATALA kwa kuweza kuibadili hii kesi kutoka kuwa kesi ya kawaida na kuwa kesi ya kihistoria kwa kutumia akili ndogo sana.

Niwapongeze pia mawakili wa serikali kwa kukubali kucheza mziki wa upande wa utetezi kwani inawasaidia pia nyie kujua kwamba kuna mengi ambayo hayako sawa.

SASA hivi watanzania wanawajua watu wasiojulikana ambao walikuwa wanateka na kuwaua ndugu zetu kwa sababu tu ya tofauti za kisiasa na kimtazamo.SASA hata mimi najua kwamba huenda wakina BEN na AZORY walikuwa chini ya MIKONO ya kina MAHITA na wenzake na kwamba kwa kiasi kama wamekufa basi Muuaji wao ni kati ya HAO wawili.

Sasa hivi watanzania wanajua kwamba kuna uwezekano kwamba wale tulioaminishwa kwamba ni Magaidi waliokuwa KIBITI huenda walikuwa wanau askari kwa sababu ya kunyanyaswa nao hasa kwa kuzingatia mwenendo wa kesi hii.

Sasa hivi watanzania wanajua kwamba hata yule BWANA KADA GAIDI WA CCM ambaye aliwaua askari pale SURRENDER badala ya kusurrender huenda alikuwa ni muhanga wa matendo ya kishenzi ya jeshi la polisi ambayo huenda KINA GOODLUCK na MAHITA walikuwa na MKONO wao.

SASA hivi watanzania wanajua kwamba kODI zetu zionatumika kuwalipa watumishi wa umma ambao wanatumia mamlaka yao kutunyanyasa na kututesa bila SABABU.

ILA kuna JAMBO la kipekee zaidi linaenda kutokea.SASA hivi TANZANIA inaenda kupata MAGAIDI WA KWELI.

Wanajeshi ambao wakao katika KIKOSI MAALUM 92 KJ Morogoro cha SPECIAL FORCES sasa wanajuwa kwamba wao na wenzao ambao wako katika KESI hii wanaweza sasa kuonesha UGAIDI wa KWELI kwa kutumia MAFUNZO yao ya kipekee.

SASA hivi tumefungua PANDORA BOX na JINI ametoka na hakuna atakayeweza kumrudisha NDANI kwani TAYARI watu wenye uwezo wa kufadhili UGAIDI wanajua ni wapi watapata watu wenye Mafunzo ya kuweza kufanya UGAIDI wa kweli.

Ni maoni yangu,ni Mtazamo wangu na Ni fikra zangu.

Kidumu Chama Cha Mapinduzi
 
Dawaamul haal minal muhaal
Tangu kesi ya Mbowe na wenzake ianze nimekuwa nikiisoma kwa umbali na ukaribu.

Katika nyakati mbalimbali nimewahi zungumzia kuhusia UGAIDI hasa ule unaotendwa na Mamlaka au kusababishwa na Mamlaka ambao huwa unaitwa "STATIE SANCTIONED TERRORIS....
 
Tangu kesi ya Mbowe na wenzake ianze nimekuwa nikiisoma kwa umbali na ukaribu.

Katika nyakati mbalimbali nimewahi zungumzia kuhusia UGAIDI hasa ule unaotendwa na Mamlaka au kusababishwa na Mamlaka ambao huwa unaitwa
Nikikumbuka jinsi Hangaya alivyokuwa anahojiwa BBC huku akiongea kwa kujiamini kuhusu hii case moyoni nabaki kusema watz tumepigwa hatuna Kiongozi.
 
Kesi ndogo ndani ya kesi kubwa zimekuwa na ushahidi mzito kushinda kesi mama.

Tide has changed direction, ni aibu kumleta askari wa kituo A kuja kutolea ushahidi kituo B wakati hajawahi kufanya kazi hapo.
Na jaji anakenua kenua huku Mahakama ikihadaiwa mchana kweupe.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Ugaidi gani unafadhiliwa kwa laki sita, its only in TZ.
Mimi nawasikitikia kina Mahita, Kingai, Jumanne,Goodluck na Azizi. Hawakujua kuwa zama zinabadilika. Walifungua hii kesi kwa mazoea yaleyale ya kubambikia watu kesi kisha wanadai hela bila kujua hii kesi wameweka mtu ambaye sio. Hakuna anayeamini kuwa Mbowe ni gaidi japo walimpotosha Rais .

Ila naamini hapo walipo hawana amani maaana nchi nzima inawaona wauaji na watesaji na hata kina Saanane, Azory na Lissu waliohusika ni wao . Na iko siku watalipwa kipimo kilekile.
 
Hi kesi ina legal technicalities kadhaa.

1. Mahakama inayosikiliza haina mamlaka kisheria, maana kosa sio la kiuchumi au rushwa na hata Kama linaadhiri uchumi , Kuna ushahidi gani was kuonesha uchumi ulihadhiriwa na kitendo hicho.

2. Kosa wanaloshitakiwa halikutakiwa kuwa la ugaidi, Bali ni body grievious harm na kesi ya kimazingira ya kukata miti bila kibali. Maana ushahidi unaonesha walipanga kumdhuru ole sabaya pekee na kukata miti barabarani. Pia kosa la kuchoma vituo vya mafuta kisheria inaitwa Arson sio ugaidi.

3. Tatu, Jaji amekosea pale watuhumiwa walipokataa ile caution statement hakutakiwa kuweka trial within a trial, angeruhusu tu wale watuhumiwa wahojiwe upya na justice of peace yani mlinzi wa amani. Angeweka trial within a trial Kama mtuhumiwa angekiri makosa kwenye plea, pale trial proceedings zilipoanza.
 
Kesi ya michongo hii. Nafikiri wao kipindi wanafungua kesi hii walitegemea itakua zile kesi kama kesi zingine za giza. Watu wataunga mkono.

Matokeo yake kesi imekuja kuonyesha wapi panavuja katika serikali yetu , jeshi la polisi, mahakama pia.

Ngoja tuone hadi mwisho hao magaidi wa kukata miti watahukumiwaje
 
Tangu kesi ya Mbowe na wenzake ianze nimekuwa nikiisoma kwa umbali na ukaribu.

Katika nyakati mbalimbali nimewahi zungumzia kuhusia UGAIDI hasa ule unaotendwa na Mamlaka au kusababishwa na Mamlaka ambao huwa unaitwa "STATIE SANCTIONED TERRORISM"

Kesi hii washtakiwa karibu wote ni MAKOMANDO" au Special Forces.

Kesi Hii washtaki wote ni kikundi maalum cha kipolisi (TASK FORCE) ambao wote kwa karibu wanaonekana kuwa wametesa na kuua watu wengi na kwamba hata hawa waliofikishwa mahakamani waliponea kwa neema za MUNGU.

Hii kesi ni kesi ya Magaidi na Magaidi wenyewe ni wale wa upande Mashtaka yaani wakina Kingai na Wenzake.

Haihitaji akili kubwa sana kuliona hili.Wao wanaweza wakafikiri wako katika jitihada za kutaka kuthibitisha UGAIDI wa kina MBOWE lakini kwa hakika wako katika JITIHADA za kujitetea.Kwa kiasi kikubwa hii staili ya KESI KUBWA NDANI YA KESI ndogo imethibitisha kabisa kwamba SASA Hawa askari POLISI ambao wanatokea kama mashahidi sasa Wao ndio watuhumiwa katika KESI hii.TUHUMA ZAO ni kesi za UGAIDI na UHUJUMU UCHUMI.

Niwapongeze jopo la mashahidi wakiongozwa na MSOMI KIBATALA kwa kuweza kuibadili hii kesi kutoka kuwa kesi ya kawaida na kuwa kesi ya kihistoria kwa kutumia akili ndogo sana.

Niwapongeze pia mawakili wa serikali kwa kukubali kucheza mziki wa upande wa utetezi kwani inawasaidia pia nyie kujua kwamba kuna mengi ambayo hayako sawa.

SASA hivi watanzania wanawajua watu wasiojulikana ambao walikuwa wanateka na kuwaua ndugu zetu kwa sababu tu ya tofauti za kisiasa na kimtazamo.SASA hata mimi najua kwamba huenda wakina BEN na AZORY walikuwa chini ya MIKONO ya kina MAHITA na wenzake na kwamba kwa kiasi kama wamekufa basi Muuaji wao ni kati ya HAO wawili.

Sasa hivi watanzania wanajua kwamba kuna uwezekano kwamba wale tulioaminishwa kwamba ni Magaidi waliokuwa KIBITI huenda walikuwa wanau askari kwa sababu ya kunyanyaswa nao hasa kwa kuzingatia mwenendo wa kesi hii.

Sasa hivi watanzania wanajua kwamba hata yule BWANA KADA GAIDI WA CCM ambaye aliwaua askari pale SURRENDER badala ya kusurrender huenda alikuwa ni muhanga wa matendo ya kishenzi ya jeshi la polisi ambayo huenda KINA GOODLUCK na MAHITA walikuwa na MKONO wao.

SASA hivi watanzania wanajua kwamba kODI zetu zionatumika kuwalipa watumishi wa umma ambao wanatumia mamlaka yao kutunyanyasa na kututesa bila SABABU.

ILA kuna JAMBO la kipekee zaidi linaenda kutokea.SASA hivi TANZANIA inaenda kupata MAGAIDI WA KWELI.

Wanajeshi ambao wakao katika KIKOSI MAALUM 92 KJ Morogoro cha SPECIAL FORCES sasa wanajuwa kwamba wao na wenzao ambao wako katika KESI hii wanaweza sasa kuonesha UGAIDI wa KWELI kwa kutumia MAFUNZO yao ya kipekee.

SASA hivi tumefungua PANDORA BOX na JINI ametoka na hakuna atakayeweza kumrudisha NDANI kwani TAYARI watu wenye uwezo wa kufadhili UGAIDI wanajua ni wapi watapata watu wenye Mafunzo ya kuweza kufanya UGAIDI wa kweli.

Ni maoni yangu,ni Mtazamo wangu na Ni fikra zangu.

Kidumu Chama Cha Mapinduzi
Kesi za kupotezeana muda
 
Naomba msaada wa maana neno Trial within a Trial
Hi kesi ina legal technicalities kadhaa.

1. Mahakama inayosikiliza haina mamlaka kisheria, maana kosa sio la kiuchumi au rushwa na hata Kama linaadhiri uchumi , Kuna ushahidi gani was kuonesha uchumi ulihadhiriwa na kitendo hicho.

2. Kosa wanaloshitakiwa halikutakiwa kuwa la ugaidi, Bali ni body grievious harm na kesi ya kimazingira ya kukata miti bila kibali. Maana ushahidi unaonesha walipanga kumdhuru ole sabaya pekee na kukata miti barabarani. Pia kosa la kuchoma vituo vya mafuta kisheria inaitwa Arson sio ugaidi.

3. Tatu, Jaji amekosea pale watuhumiwa walipokataa ile caution statement hakutakiwa kuweka trial within a trial, angeruhusu tu wale watuhumiwa wahojiwe upya na justice of peace yani mlinzi wa amani. Angeweka trial within a trial Kama mtuhumiwa angekiri makosa kwenye plea, pale trial proceedings zilipoanza.
 
Tangu kesi ya Mbowe na wenzake ianze nimekuwa nikiisoma kwa umbali na ukaribu.

Katika nyakati mbalimbali nimewahi zungumzia kuhusia UGAIDI hasa ule unaotendwa na Mamlaka au kusababishwa na Mamlaka ambao huwa unaitwa "STATIE SANCTIONED TERRORISM"

Kesi hii washtakiwa karibu wote ni MAKOMANDO" au Special Forces.

Kesi Hii washtaki wote ni kikundi maalum cha kipolisi (TASK FORCE) ambao wote kwa karibu wanaonekana kuwa wametesa na kuua watu wengi na kwamba hata hawa waliofikishwa mahakamani waliponea kwa neema za MUNGU.

Hii kesi ni kesi ya Magaidi na Magaidi wenyewe ni wale wa upande Mashtaka yaani wakina Kingai na Wenzake.

Haihitaji akili kubwa sana kuliona hili.Wao wanaweza wakafikiri wako katika jitihada za kutaka kuthibitisha UGAIDI wa kina MBOWE lakini kwa hakika wako katika JITIHADA za kujitetea.Kwa kiasi kikubwa hii staili ya KESI KUBWA NDANI YA KESI ndogo imethibitisha kabisa kwamba SASA Hawa askari POLISI ambao wanatokea kama mashahidi sasa Wao ndio watuhumiwa katika KESI hii.TUHUMA ZAO ni kesi za UGAIDI na UHUJUMU UCHUMI.

Niwapongeze jopo la mashahidi wakiongozwa na MSOMI KIBATALA kwa kuweza kuibadili hii kesi kutoka kuwa kesi ya kawaida na kuwa kesi ya kihistoria kwa kutumia akili ndogo sana.

Niwapongeze pia mawakili wa serikali kwa kukubali kucheza mziki wa upande wa utetezi kwani inawasaidia pia nyie kujua kwamba kuna mengi ambayo hayako sawa.

SASA hivi watanzania wanawajua watu wasiojulikana ambao walikuwa wanateka na kuwaua ndugu zetu kwa sababu tu ya tofauti za kisiasa na kimtazamo.SASA hata mimi najua kwamba huenda wakina BEN na AZORY walikuwa chini ya MIKONO ya kina MAHITA na wenzake na kwamba kwa kiasi kama wamekufa basi Muuaji wao ni kati ya HAO wawili.

Sasa hivi watanzania wanajua kwamba kuna uwezekano kwamba wale tulioaminishwa kwamba ni Magaidi waliokuwa KIBITI huenda walikuwa wanau askari kwa sababu ya kunyanyaswa nao hasa kwa kuzingatia mwenendo wa kesi hii.

Sasa hivi watanzania wanajua kwamba hata yule BWANA KADA GAIDI WA CCM ambaye aliwaua askari pale SURRENDER badala ya kusurrender huenda alikuwa ni muhanga wa matendo ya kishenzi ya jeshi la polisi ambayo huenda KINA GOODLUCK na MAHITA walikuwa na MKONO wao.

SASA hivi watanzania wanajua kwamba kODI zetu zionatumika kuwalipa watumishi wa umma ambao wanatumia mamlaka yao kutunyanyasa na kututesa bila SABABU.

ILA kuna JAMBO la kipekee zaidi linaenda kutokea.SASA hivi TANZANIA inaenda kupata MAGAIDI WA KWELI.

Wanajeshi ambao wakao katika KIKOSI MAALUM 92 KJ Morogoro cha SPECIAL FORCES sasa wanajuwa kwamba wao na wenzao ambao wako katika KESI hii wanaweza sasa kuonesha UGAIDI wa KWELI kwa kutumia MAFUNZO yao ya kipekee.

SASA hivi tumefungua PANDORA BOX na JINI ametoka na hakuna atakayeweza kumrudisha NDANI kwani TAYARI watu wenye uwezo wa kufadhili UGAIDI wanajua ni wapi watapata watu wenye Mafunzo ya kuweza kufanya UGAIDI wa kweli.

Ni maoni yangu,ni Mtazamo wangu na Ni fikra zangu.

Kidumu Chama Cha Mapinduzi
Upo sahihi ni aibu kubwa sn kwa taifa
 
Back
Top Bottom