Incredible
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,031
- 1,603
Mtu yeyote akivamia nyumba ya mtu au chombo cha habari, huyo ametenda kosa la jinai. Kuvamia media house tena akiwa na silaha, hilo siyo kosa la madai (civil case). Anaweza waomba cloud msamaha, lakini bado ametenda kosa dhidi ya Jamuhuri.
Makonda akamatwe, na awekwe ndani. Kama polisi hawamkamati, basi sheria inaruhusu mtu yeyote amkamate na ampeleke kituo chochote cha polisi kilicho karibu na eneo alilomkamatia. Akisha fikishwa polisi na baadae wakamuachia, basi watatueleza kisa cha kumuachia