Kesi ya Jerry Muro | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kesi ya Jerry Muro

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Tumsifu Samwel, Jun 14, 2010.

 1. Tumsifu Samwel

  Tumsifu Samwel Verified User

  #1
  Jun 14, 2010
  Joined: Jul 30, 2007
  Messages: 1,406
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Ile kesi inayo mkabili mtangazaji wa shirika la utangazaji tanzania (TBC) Jerry Muro
  upelelezi wake umekamilika na alitarajiwa kupandishwa kizimbani leo.


  Kwa mdau yoyote aliye na habari za kilichojiri uko mahakamani atujuze tafadhali.
   
 2. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #2
  Jun 14, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  mkuu kumbe bado upo JF?
  Nilifkiri lile ombi lako la kuondolewa humu JF ulikuwa unamaanisha.!
   
 3. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #3
  Jun 14, 2010
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  hao ndo wale wa kujilipua, alitaka kujilipua bahati yake bom likakataa kulipuka...sasa bado yupo na kibajaji chake tunamwona anafurahia maisha jf...hahaha.
   
 4. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #4
  Jun 15, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Jamani Ndibalema na Ubungoubungo mbona hamna majibu CarthbertL kauliza swali nyi mnaleta mzaha ...
   
 5. Rubi

  Rubi JF-Expert Member

  #5
  Jun 15, 2010
  Joined: Oct 5, 2009
  Messages: 1,623
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  Hahaha hata mimi nilimuuliza hilo swali sijui alisepa au? ila siyo kitu tunafurahi kuwa naye tuendelee kuchanja mbuga.
   
 6. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #6
  Jun 15, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  kibajaji kikishika break ndo ataripuka sorry out of topic
   
 7. minda

  minda JF-Expert Member

  #7
  Jun 15, 2010
  Joined: Oct 2, 2009
  Messages: 1,070
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  CarthbertL anaandika, pamoja na mengineyo:
  "Ile kesi inayo mkabili mtangazaji wa shirika la utangazaji tanzania (TBC) Jerry Muro
  upelelezi wake umekamilika na alitarajiwa kupandishwa kizimbani leo..."


  mahakama ni hekalu la haki; haki itatendeka tu utaarifiwe au la kuhusu kesi hiyo, haibadilishi kitu.


   
 8. bona

  bona JF-Expert Member

  #8
  Jun 16, 2010
  Joined: Nov 6, 2009
  Messages: 3,796
  Likes Received: 167
  Trophy Points: 160
  kosa moja lisimuhukumu mtu! tumkaribishe jamani na mada yake tuchangie kama inavyostahili badala ya kuanza kumnanga!
   
 9. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #9
  Jul 9, 2010
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Hii imekaeje wadau? Kelele nyingiii hatimaye kesi imefutwa tu kiaina (eti aliyemshitaki kaamua kumsamehe). Lakini nilijua ingefutwa kwa kuwa kulikuwa kuna dalili nyingi za kwamba ile kesi ilikuwa imetengenezwa ili kumchafua Muro. Hata hivyo inaonekana Muro ni mtu wa system (hisia zangu tu). Inaonekana polisi walikurupuka, wamefika mahali yamewashinda. Sijui na kesi ya kumilikii pingu nayo atasamehewa?
   
 10. A

  Audax JF-Expert Member

  #10
  Jul 10, 2010
  Joined: Mar 4, 2009
  Messages: 444
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  ambao hawana title kama za muro wanafia gerezani!! jamani!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 11. F

  Fernandes Rodri JF-Expert Member

  #11
  Jul 10, 2010
  Joined: Apr 11, 2009
  Messages: 405
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 45
  All people under the law are equal, but others are more equal, tatizo letu unataka kufananinisha kifo cha kenyata na uhai wako.
   
 12. Oxlade-Chamberlain

  Oxlade-Chamberlain JF-Expert Member

  #12
  Jul 10, 2010
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 7,928
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  walikuwa wana tania walivyo mkamata.
   
 13. Einstein

  Einstein Senior Member

  #13
  Jul 10, 2010
  Joined: Dec 5, 2009
  Messages: 122
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mi sijaelewa.. Kesi ipi imefutwa??? Maana ukisoma hiii habari kutoka katika gaezti la mwananchi inaonyesha kuwa jamaa kafutiwa kesi ya kukopa million 1.5.. Ila kuna ile kesi ya kutaka kutapeli millioni 10... Hebu niwekeni sawa hapa, ina maana jamaa alikuwa na kesi mbili????????
   
 14. Nemesis

  Nemesis JF-Expert Member

  #14
  Jul 10, 2010
  Joined: Feb 13, 2008
  Messages: 3,833
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  hiyo ya 1.5M ambayo alikuwa anadaiwa laki 5 (TZS500,000).
   
 15. Limbani

  Limbani JF-Expert Member

  #15
  Jul 10, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 1,437
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Kwa hiyo ile kesi ya kuomba rushwa ya mil 10 bado ipo mahakamani sio?
   
 16. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #16
  Jul 10, 2010
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  mkanganyiko wa taarifa, alie na taarifa wa kesi ipi imefutwa kati ya zilizokua zinamkabili Muro aje atujuze kiufasaha.
   
 17. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #17
  Jul 10, 2010
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  MSOME VIZURI..

  Saturday, July 10, 2010

  HATIMAYE JERRY MURO AFUTIWA MASHTAKA YAKE...  [​IMG]
  Ile kesi ya Utapeli anayotuhumiwa Mtangazaji wa zamani wa ITV ambaye kwasasa anapiga mzigo na TBC1 bwana JERRY MURO hatimaye imefutwa baada ya Mlalamikaji bwana EDUARDO CHAMUHENE ambaye ni mkurugenzi mtendaji wa Boneste General Enterprises ya jijini kuamua KUMSAMEHE! Inadaiwa apo awali Jerry alimkopa uyo bwana sh Milioni 1.5 kwa ajili ya kwenda kutoa gari yake Bandarini na baada ya miezi 2 Jerry alipunguza deni kwa kumlipa m1 na kubaki laki 5 iliyomfikisha Mahakamani Hapo jana!  KINYAIYA'S ENTERTAINMENT:: HATIMAYE JERRY MURO AFUTIWA MASHTAKA YAKE...
   
 18. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #18
  Jul 10, 2010
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,816
  Likes Received: 10,106
  Trophy Points: 280
  Mmmmh bado
   
 19. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #19
  Jul 10, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Kumbe ile Kesi ya Kova ya utapeli/rushwa ya 10m/- pamoja na mambo ya kumiliki pingu bado iko palepale?
   
 20. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #20
  Jul 10, 2010
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  I got to know, kwa hiyo jamaa alikuwa ana kesi mbili??!! Na mwananchi nao, wameiandikaje hii habari wakati wanajua sisi hatuijui hiyo kesi nyingine?
   
Loading...