Kesi ya Hamad Rashid: CUF waitwa mahakamani wakajitetee "KWANINI WASIFUNGWE"

Hata ukileta humu JF unapoteza muda wako tu wewe Hamadi Rashidi, vipi Pinda yupo? CCM ni noma sana wamewaoa CUF bado nyie au wewe unasubiri ndoa kwa CDM.

Cdm wenye we walishawaigi kuolewa na ccm huko Kigoma, ngoja nitafanyia kazi hili Njue kuna Ndoa Ngapi katika Halmashauri zetu kati ya Magwanda na Magamba. Halafu majina yenu yanaendana vizuri kweli kweli. Dah! Hadi mnatamanisha.
 
Back
Top Bottom