Kesi ya Halima Mdee: Mkuu wa Upelelezi Ilala (RCO) Davis Msangi, adai hajui breki

Kuna haja ya kulivunja jeshi la polisi
yaani kuchukua watu wenye leaving certificate ni ujinga mkubwa, mtu anapoteza muda wa kuwahudumia watu kwa kwenda kutoa ushahidi wa kijinga jinga kila kitu afahamu, afahamu asa kilicho mpeleka pale ni nini?

Kazi ya kipuuuzi sana, na huyo bwana ni mpuuzi pia
 
Usikonde mkuu , mwisho wa ccm ndio mwisho wa jeshi la polisi , tutatimua wote tuanze upya
 
ukiangalia hawa polsi jinsi wanvyo jibu maswali huko mahakamani unaona kabisa hawaja jiandaaa...je tukisema kuwa wana wabambikia watu kesiili kumfurahisha mtukufu tunakosea??????

nimemkumbuka yule mwingine wa kwenye kesi ya jamii forums
 
He he he heeeeee wacha nicheke mie! Unaenda kufungua mashitaka halafu ukiulizwa kila kitu hufahamu? Utapata tabu sana! Kwanza nani kakwambia hayo maneno yaliniudhi na kunitia uchungu? Kwanini unalazimisha hisia ambazo mimi sina? Msemakweli ni mpenzi wa Mungu na mimi nasema ukweli hapo umechemsha ambieree! Harikaaaa! Yetoooni!

36959431_1260340494102075_5381302883234873344_n.jpg
 
Kibatala-je unafahamu kwamba magu yeye anachukulia poa tu na wala hana time na halima yeye yupo busy kuwashunghulikia wanaoikosoa ndege yake?
RCO-nafahamu Hilo jukumu kakabidhiwa Bashite mkuu wa kitengo cha watu wasiofahamika.

Kibatala-je unadhani hii kesi inatija kwa taifa?

RCO-Sifahamu.

Kibatala-unafkili ni kwanini wapinzani wamelundikiwa mashtaka mengi ya hovyo hovyo mahakamani?

RCO-Ni maagizo kutoka juu,maana tunajaribu kutumia mbinu za kagame.

Kibatala-unadhani watanzania wanafurahia wawakilishi wao kulundikiwa kesi na kushitakiwa kila Leo?

Rco-nadhani hawapendi ila ndio hivyo tena.

Kibatala-ukiwa kwenye gari yako,oficin na nyumbani kwako ni nyimbo gani hupendelea zaidi kuisikiliza?

RCO-CCM mbele kwa mbele.

kibatala-asante sana shaidi.

Rco-you're welcome.

ukiijuwa sheria raha sanaaaaa
 
ha ha haaa Naipenda Jf kwa Moyo wangu wotee
 
Back
Top Bottom