Kesi ya Escrow Tundu Lissu alivyo fyatuka Bungeni

Hiyo ni drama tu kama za wachungaji wa Jangwani, hakuna chenye maana wala hakuna hoja hapo yenye mshiko wa kuweza kumwangusha waziri yeyote licha ya waziri mkuu.
 
Hii nchi iko siku tuu tutaheshimiana, watu kama nyie mnaenjoy the luxury of power, tutaona tu
 
Hiyo ni drama tu kama za wachungaji wa Jangwani, hakuna chenye maana wala hakuna hoja hapo yenye mshiko wa kuweza kumwangusha waziri yeyote licha ya waziri mkuu.

Umejaliwa kipa cha propaganda, una mkumbuka yule waziri wa Rais Sadam Hussein wa Iraq wakati wa vita ya ghuba?? aliwaambia waandishi wa habari wakati majeshi ya marekeni yameingia Baghdad na yanaendelea kuteka majengo ya serikali kwamba askari wa marekeni wote wameuawa na kwamba hakuna aliyeko Baghdad, ghafla kombora likapita juu yake akatimua mbio na kuingiamitin, sasa ndio ww
 
...

artworks-000073553632-wenr9e-crop.jpg
 
Hizi pesa zilikuwa za umma kwani ule ubishi uliofanya ziwekwe na third party ulikuwa haujesha na IKUMBUKWE kuwa zilikuwa za Shirika la Umma (TANESCO) ndo maana ziliwekwa BOT na zilikaguliwa na Mkaguzi wa Serikali. Hili halina mjadala Faiza Foxy
 
Hakuna atakayejiuzulu wala kutemwa ishu imeshaisha hii eneleeni kuleta porojo urojo

Ukiwa mtu was fikara pana huwezi ongea hivi mopaozi, kumbuka salama yenu ni ccm kubaki madarakani la sivyo kashfa na kejeli zenu mtazitolea nyuma ya nondo

Nakuhakikia ccm inafanya ifanyavyo isianguke kwakuwa athari zake si kwa chama tu bali kwa mpaka watu kama nyie
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom