Kesi ya Constantine Petro Kizaka - Ni kweli alikuwa mwendawazimu wakati anamuua mkewe...?

Itakuwa vyema sana kama katiba hii itaweza kurekebisha vitu vidogovidogo kama hivi.

Asante sana Mr Gusta kwa kweli mie pia nakupongeza sana kwa unavyojitahidi kutuelemisha pale tunapokuwa na maswali hata yale yakijinga jinga.
 
Wakati mwingine sijui akili huwa tunapeleka wapi! yaani kweli uambiwe umwuue mkeo nawe ukubali tuu!
ukifuatilia mtiririko wa maelezo ya kesi, hilo jambo la 'kutumwa kuua' halikujengewa hoja, hivyo halipo (mtazamo wangu). Hata hivyo najiuliza motive/drive ya kuua kwa makusudi ni nini haswa ? Kwani hakuna sehemu (kulingana na mwenendo) ambayo imetajwa/onyeshwa kuwa Mume na Mke walikuwa na mahusiano mabaya (ugomvi) !
 
Dah! nahisi siwezi kuwa hakimu, kwani kwa issue kama hizi mimi naagiza .:A S embarassed:nyundo hapohapo mahakamani namaliza mwenyewe
 
Huyu Constantine ni dhahiri alikusudia kumuua mke wake.
Pamoja kushawishiwa na familia yake afanye hivyo lakini hakukuwa na ushahidi wa kuthibitisha uasherati wake.
Alistahili kitanzi tu huyo.
 
Sad. .

Asante Mtambuzi. . .mie hua nasoma tu bila kuchangia ila hii ya huyu aliyehukumiwa kunyongwa imenilazimu.
 
Last edited by a moderator:
Gustavo aka Mreno, asante kwa huu uzi...huyo kaka muuaji wa ajabu eti kashauriwa na ndugu zake!
I'm tuned for next weekend's story...sitoki hapa aisee!!
 
Back
Top Bottom