Kesi ya anayedaiwa kumchoma moto mke wake kwa gunia mbili za mkaa imeiva

Ukiona wazazi wetu wapo kwenye ndo miaka nenda rudi ujue wmekwepa mishle mingi sn.
Mimi tangu nianze pilika pilika za ukubwa nawaheshimu sana wazee na huwa nawaonea wivu maana mzee anasubiri kusuluhisha masuala ya kijamii na ya family yake tu afe

Ujana mgumu
 
Mungu saidia baharia mwenzetu
Msitudhalilishe mabaharia.... Baharia wa kweli hufungwa kwa sababu ya kusaka noti sio kwa kuua mwanamke... Mabaharia hatuna tabia hizo...just leave and forget...... Wanawake wapo kibao tu...unaweza kuua kwa bahati mbaya na sio kwa kukusudia kama alichofanya huyo mwamba
 
Anajifanya katili ajaribu kutoka na kwenye hizo minyororoq
Huyo hajifanyi ni mwamba kweli na ndo mana wanampiga mpaka vikuku alisema atashangaza mahakama wapiga picha wakiendelea kupiga picha

Huyu jamaa anahasira sana kitendo cha kuchoma Mke kwa mkaa mpaka akaiva akawa majivu ni Hatare sana Ila kitendo cha kuonesha alipofukia tu na kusimulia yote tena bila kudanganya ni ujasir mkubwa
 
Kesi inayomkabili mfanyabiashara Hamisi Luwongo ya kumuua mke wake Naomi Marijani kwa makusudi kwa kumchoma moto magunia ya mkaa imeiva.

Jalada la kesi hiyo sasa limehamishiwa mahakama kuu kanda ya Dar es Salaam na inatarajiwa kuanza kusikiliza mashahidi 28 wa Jamuhuri na vielelezo sita ikiwemo ramani ya tukio na ripoti ya mkemia mkuu wa serikali.

Chanzo: NIPASHE View attachment 1480628
Ndio maana tunasema # kataa ndoa , ndoa ni utapeli ,kataa ndoa #ndoa ni hasara .
Huyo mwamba angefuata hii kauli mbiu angekuwa zake uraiani anaishi sasa ona anaenda ozea jela
Kataa ndoa ,kataa ndoa ,kataa ndoa
Ogopa matapeli kataa ndoa.
We kaza fuvu sasa uendelee na ufugaji wa binadamu ,utaishia kumbanika huyo unayemfuga ukaozee jela
 
Wangapi hawajaoa na wanaozea jela?
Unadhani jela ni kwa walio oa?
Jela ni kwa yeyote yule
 
Hapo ili mwanamme uepukane na haya, labda ukadungwe sindano ya kuuwa nguvu za kiume, ila kama inadisa, hata usinge ndoa, hata kwenye mapenzi ya kawaida tunashuhudia matukio kama haya, hivyo kampeni ya kupinga ndoa, ni kampeni ya kihanisi na mashoga tu.
 
Sasa askari wote hao na silaha juu wanamwogopa hadi wamfunge pingu za miguuni?
Nadhani hii ni regulations za Kimataifa.

Nimeona wauaji iwe Marekani, China nk huwambwa minyororo miguuni, bila kujali uliua kwa kutumia mbinu gani au silaha gani.
 
Wangapi hawajaoa na wanaozea jela?
Unadhani jela ni kwa walio oa?
Jela ni kwa yeyote yule
Hakumbuki tukio la Oscar Pistulius, mwanariadha wa South Afrika, na kuna matukio mengine mengi tu ya watu ambao hawajaona.
Dawa ni kuwa hanisi tu, ila ukijihisisha na mapenzi huwezi kukwepa changamoto za mahusiano.

Kuna watu wamejengea majumba wapenzi wao, baadae wakasalitiwa, mdogo wangu Harmonize, kamnunulia gali ya dhamani aliekua hawara yake, hata wazazi wake hajawahi kuwanunulia gari zenye dhamini vile, lakini bado wamepishana lugha kila mtu yupo kivyake.
 
Back
Top Bottom