Kesi ya anayedaiwa kumchoma moto mke wake kwa gunia mbili za mkaa imeiva

Amependexa hivyooo yupo gereza gani hilo. Kiatu kimepigwa dawa kime shiiineeee
 
Naingia kwenye maombi maalum kwaaji ya kumuombea baharia mwenzetu ashinde kesi,jamani sitikieni tu suala la kugongewa mke
Inauma, ukichk mke wko msambwanda huooo
Kumbe huko nje kna mhuni mmoja anamla vibaya
We Ukisikia unaona dah hapana.... Hapo kama una Roho ndogo lazima ufanye maumuzi ya ajabu

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Someni kisa hiki kimenikuta mm mwenyewew nimeishi na mke wangu miaka 13 sikuwahi kumpiga....akaanza usumbufu akasema hanitaki akasema sina hadhi ya kuishi nae akanambia ye mzuri hivyo nitafte saiz yangu...akahama chumba akawa anarudi saa 5 usiku mbaka saa 7 usiku.siku nyingine harudi siku 2 au 3 akidhani nitampiga sikufanya hivo.nilienda kumueleza balozi/mshenga maisha yakaendelea nikampigia magoti nimekukosea wapi mke wangu naomba nisamehe huku machozi yakini toka nikiangalia masilahi mapana ya watoto wangu....siku zote huwa nasema kama nilivuka hapo mapenzi yanaweza yasinitese tena....mke akaondoka hom akaniacha na watoto wangu 3 wa mwisho ni mdogo miaka miwili miez 7 lakini akapanga huko.kumbuka yanakukumba hayo unamaresho bank na unawatoto hom wanauliza mama wapi?biashara zimesimama mkeo unaambiwa tu leo yupo na fulani sehemu flani wanakula good time we vitoto vinalia tu hom.lakini sikupiga sikufoka isipo kua nilimuuliza tu akanijibu anavyo weza majibu ya nyodo nikanyamaza maisha yakaenda.mwisho akanipeleka baraza la usuluhishi theni akaenda mahakamani theni akanipa talaka nikasaini....nipo na watoto hom maisha yanaendelea shule zikifungua wataenda shule....ushauri mwanamke akipenda nje harudi nyuma na kule nje wanatoaga na ndogo ndio shida hapo.mliopo kwenye ndoa mjifunze jambo hili upendo hukoma isipo kua baada yakuishi na mwenza miaka mingi uvumilivu unatakiwa kuliko upendo.
Hawa wenzetu wana wanachochea hasira sana, kama huwez zuia hasira yako unatenda aliyotenda huyo jamaa!
 
Mkeo limbukeni..au shetani kampigia...pole sn
 
Ipo siku atakupigia magoti

Utakuja kukumbuka comment yangu hii

Duh! Inasikitisha sana mkuu mtu kama huyu alikuwa na familia yake wanafurahisha maisha tu ila ghafla sijui shetani gani kamuingilia kijana wa watu kajikuta katenda hayo aliyo yatenda.
OMBA MUNGU AKAUNUSURU MTU YEYOTE ANAWEZA KUUWA UKIWEMO WEWE WANAWAKE NI ISSUE NZITO KAMA HAYAJAKUPATA MSHUKURU MUNGU ILA HAKUNA MWENYE GURANTEE KWAMBA HAWEZI KUUA MKEWE NAKATAA CHOCHOTE KINAWEZA TOKEA WAKATI WOWOTE NI KUDRA ZA MWENYEZI MUNGU TU NDIYO ZINATUEPUSHA NA MAAMUZI YA KISHETANI
 
Uko sahihi kaka

Aisee!! Uharaka wa kesi za namna hii inabidi uwe kwa watu wote mana nasikiaga wengine zaidi ya miaka 5 kesi inasikilizwa tu haijahamishwa Mahakama Kuu.
 
Back
Top Bottom