Kesi ya anayedaiwa kumchoma moto mke wake kwa gunia mbili za mkaa imeiva

Mr pianoman

JF-Expert Member
May 22, 2019
2,548
6,102
Kesi inayomkabili mfanyabiashara Hamisi Luwongo ya kumuua mke wake Naomi Marijani kwa makusudi kwa kumchoma moto magunia ya mkaa imeiva.

Jalada la kesi hiyo sasa limehamishiwa mahakama kuu kanda ya Dar es Salaam na inatarajiwa kuanza kusikiliza mashahidi 28 wa Jamuhuri na vielelezo sita ikiwemo ramani ya tukio na ripoti ya mkemia mkuu wa serikali.

Chanzo: NIPASHE
FB_IMG_1592320981772.jpg
 
Kesi inayomkabili mfanyabiashara Hamisi Luwongo ya kumuua mke wake Naomi Marijani kwa makusudi kwa kumchoma moto magunia ya mkaa imeiva.

Jalada la kesi hiyo sasa limehamishiwa mahakama kuu kanda ya Dar es Salaam na inatarajiwa kuanza kusikiliza mashahidi 28 wa Jamuhuri na vielelezo sita ikiwemo ramani ya tukio na ripoti ya mkemia mkuu wa serikali.

Chanzo: NIPASHE View attachment 1480628
Sasa askari wote hao na silaha juu wanamwogopa hadi wamfunge pingu za miguuni?
 
Back
Top Bottom