Kauli ya nyerere"Watanzania wanataka Mabadiliko"

Like his NameMbowe will always be a Freeman
Yaani aibu naona mm kuitwa mtz huku chama langu ndo lipo madarakaniImesaidia yafuatayo
i)Hakuna Uhuru wa mahakama Tanzakiza
ii)sheria kuvunjwa waziwazi(Police,mawakili wa serikali & jaji)
iii)Uzwazwa wa majaji na mawakili wa serikali licha ya kujifanya wasomi na watu wenye weledi
iv)Ukatili wa police-CCM na Uongo wao
v) JWTZ nako hakuna haki
Mengine GT wataongeza
Wewe ndio wale tunawaita CCM limbukeniCCM inahusika vipi na hii kesi ya Mbowe?
CCM inahusiana na Mbowe kwenye Ubunge- walimtoa akiwepo jimboni hai
CCM inahusiana na Mbowe kwenye Urais- walimshinda akiwa hayuko jela
CCM haihitaji Mbowe afungwe ndiyo ipate inachokitaka kwa sababu imekuwa ikipata akiwepo
ccm imejengwa katika mfumo wa Ukatili na roho mbaya , sasa wewe kama huna hivyo vimelea bora tu utoke hukoWana CCM mliopo mtandaoni.
Ni kweli wapinzani hawana ajenda na bawajawahi kuwa nayo zaidi ya blah blah tu.
Lakini, nasema lakini sisi wana CCM kupitia CCM Maslahi ndio tunawapa hawa wapinzani cha kutusumbua nacho.
Mfano: Hii kesi ya kijinga ya Mbowe ina manufaa gani sasa ki siasa kwetu CCM?
Sawa, ni kweli Mbowe ni tishio kwetu lakini sisi ni wakubwa zaidi ya Mbowe tungeweza kum contain kisayansi tu. Ona sasa badala ya sisi kupata political mileage kwa kumtia gerezani yeye ndo anapata political mileage nyingi mno!
CCM Maslahi wataizika hiki chama muda si mrefu then wanahamia kwingine. Time will tell!
Wewe ndio wale tunawaita CCM limbukeniCCM inahusika vipi na hii kesi ya Mbowe?
CCM inahusiana na Mbowe kwenye Ubunge- walimtoa akiwepo jimboni hai
CCM inahusiana na Mbowe kwenye Urais- walimshinda akiwa hayuko jela
CCM haihitaji Mbowe afungwe ndiyo ipate inachokitaka kwa sababu imekuwa ikipata akiwepo
Sasa nitoke niende wapi? Huko kwenu nako hamueleweki njaa inawasumbua sanaccm imejengwa katika mfumo wa Ukatili na roho mbaya , sasa wewe kama huna hivyo vimelea bora tu utoke huko
muosha huoshwa, ipo siku watalipia gharama ya matendo yao, itafanyika review ya mikataba yote ya uwezekezaji kisha wawekezaji hawatasumbulia bt wote walioingia mikataba hiyo ya kuligharimu taifa watashughulikiwa, tuombe uzima tu.Hawataki wao kushitakiwa lakini wanataka wawashitaki wengine
Bora njaa kuliko ujinga.Wewe ndio wale tunawaita CCM limbukeni
Sasa nitoke niende wapi? Huko kwenu nako hamueleweki njaa inawasumbua sana
Kwa nini usiitishe kikao lumumba, hapa hutopata msaada wowoteWana CCM mliopo mtandaoni.
Ni kweli wapinzani hawana ajenda na bawajawahi kuwa nayo zaidi ya blah blah tu.
Lakini, nasema lakini sisi wana CCM kupitia CCM Maslahi ndio tunawapa hawa wapinzani cha kutusumbua nacho.
Mfano: Hii kesi ya kijinga ya Mbowe ina manufaa gani sasa ki siasa kwetu CCM?
Sawa, ni kweli Mbowe ni tishio kwetu lakini sisi ni wakubwa zaidi ya Mbowe tungeweza kum contain kisayansi tu. Ona sasa badala ya sisi kupata political mileage kwa kumtia gerezani yeye ndo anapata political mileage nyingi mno!
CCM Maslahi wataizika hiki chama muda si mrefu then wanahamia kwingine. Time will tell!
Siyo kwamba hawana akili. Wanatembea na gepu. Halafu kwasababu bibi ushungi kairithi hiyo kitu na kwasababu sukuma gang hawampendi na wala hawakutaka achukue nafasi hiyo, coincidentally bibi ushungi kakumbatia bomu, wanaacha limlipukie. Kwahiyo hapo usalama wao hawana ishu. Bibi ushungi alipaswa kujua huo ni mtego ili aepukane nao.Kama kuna watu hawana akili nchi hii ni Usalama wa Taifa waliopandikizwa ndani ya CCM. Hawa ndio Mainjinia wa hii kesi uchwara. Mnawaona kina Kingai na Jumanne ni Punda tu wabeba mizigo na kama mnavyowaona wamelemewa na Sasa la lawama zote ziko juu Yao kumbe waanzilishi wa Msala wako pembeni.
Umenichekesha sana"Anataka kurithi matatizo ya mtu binafsi"kaka, hii kesi ina manufaa kwa CCM mwendazake - tatizo maza anataka kurithi kila kitu hadi matatizo binafsi ya marehemu kitu ambacho ni kosa kubwa kibinadamu hata katika ulimwengu wa kiroho.
Maza apewa ushauri huu muhimu, kama marehemu alikuwa hampendi A, B, C D basi ni yeye na wala asitake sisi wana CCM wote tuendelee kuyaachukia ambayo yeye aliyona hayamfani wakati yeye hayupo duniani na hawezi kurudi tena.
Hata kama marehemu aliapa kutotoa katiba mpya basi ni yeye, sasa kwani sisi tulibaki hapa duniani tukisema katiba mpya ni ajenda yetu leo ni kosa ? arudi basi kama ana uwezo huo.
Narudia tena, maza ashauriwe - adui wa mtangulizi wako si wa kwako, principal ya maisha ni kwamba tengeneza marafikio wengi kuliko maadui.
Nitamweshimu wana CCM YEYOTE atayetamka kwamba katiba mpya ni ajenda yetu ya leo, regardless !!
CCM iliyopo kwa sasa haina faida yoyote kwa taifa kinachokuuma ni kitu gani acha iendelee kutenda vitendo viouivu dhidi ya raia ili wapate mwamko na kuchukua maamuzi yasiyojali chochote mbele yao kunusuru nchiWana CCM mliopo mtandaoni.
Ni kweli wapinzani hawana ajenda na bawajawahi kuwa nayo zaidi ya blah blah tu.
Lakini, nasema lakini sisi wana CCM kupitia CCM Maslahi ndio tunawapa hawa wapinzani cha kutusumbua nacho.
Mfano: Hii kesi ya kijinga ya Mbowe ina manufaa gani sasa ki siasa kwetu CCM?
Sawa, ni kweli Mbowe ni tishio kwetu lakini sisi ni wakubwa zaidi ya Mbowe tungeweza kum contain kisayansi tu. Ona sasa badala ya sisi kupata political mileage kwa kumtia gerezani yeye ndo anapata political mileage nyingi mno!
CCM Maslahi wataizika hiki chama muda si mrefu then wanahamia kwingine. Time will tell!
Ona sasa badala ya sisi kupata political mileage kwa kumtia gerezani yeye ndo anapata political mileage nyingi mno!Wana CCM mliopo mtandaoni.
Ni kweli wapinzani hawana ajenda na bawajawahi kuwa nayo zaidi ya blah blah tu.
Lakini, nasema lakini sisi wana CCM kupitia CCM Maslahi ndio tunawapa hawa wapinzani cha kutusumbua nacho.
Mfano: Hii kesi ya kijinga ya Mbowe ina manufaa gani sasa ki siasa kwetu CCM?
Sawa, ni kweli Mbowe ni tishio kwetu lakini sisi ni wakubwa zaidi ya Mbowe tungeweza kum contain kisayansi tu. Ona sasa badala ya sisi kupata political mileage kwa kumtia gerezani yeye ndo anapata political mileage nyingi mno!
CCM Maslahi wataizika hiki chama muda si mrefu then wanahamia kwingine. Time will tell!
HahahahaWengi wanajua km Mbowe anafadhaika SANA kuwa gerezani, lkn ukweli ni kwamba Mbowe anafurahia sana kuwa gerezani kuliko kuwa mtaani aki organize masuala ya katiba mpya.
Mbowe hapo anafanya siasa ki sayansi sana kwa gharama kubwa ya CCM
Hii ID hii.. Mmh....!!!Halafu, jinsi upepo ulivyomwendea vizufi kesi yake inaripotiwa 'LIVE' kweli CCM ni ya kuonewa huruma sasa! Dah!
Kinachoniuma ni chama changu kuwa kama zombie fulani hv amazingCCM iliyopo kwa sasa haina faida yoyote kwa taifa kinachokuuma ni kitu gani acha iendelee kutenda vitendo viouivu dhidi ya raia ili wapate mwamko na kuchukua maamuzi yasiyojali chochote mbele yao kunusuru nchi