Kesi ya Aikaeli Mbowe imeibua mengine yanayoendelea ndani ya regime. Shahidi wa pili ni Inspekta Mahita

Jina la Mahita si geni katika nchi yetu, Omari Mahita aliwahi kuwa IGP katika jeshi la polisi. Kama majina yametokea kufanana na bwana Insipekta amepanda vyeo kutokana na weledi wake ni vyema na haki
Kuna ubaya gani kunywa supu ukiwa inatembelea kwenye bandari?
 
Tatizo la mitandao watu wanajadili vitu vidogo ambaovyo haviwezi kuathiri substance ya case ,hukumu itatolewa kwenye msingi ambao kesi imejengwa , kwenye kesi kuna irregularity ambazo ni currable na zingine ni incurable kwa hivi ambavyo wachagga wanashangilia kwenye space ni vitu minor sana kesi bado mbichi
 
Wakili Matata naye ni matata kweli. Lakini zile kete wala bastola polisi inaonekana kama hawana tatizo nazo eti! Hii kesi ili kuepusha aibu zaidi kwa serikali waoindoe tu mahakamani maana haitawaacha salama!
Kuiondia ni moto kuendelea nayo pia ya moto
 
Tatizo la mitandao watu wanajadili vitu vidogo ambaovyo haviwezi kuathiri substance ya case ,hukumu itatolewa kwenye msingi ambao kesi imejengwa , kwenye kesi kuna irregularity ambazo ni currable na zingine ni incurable kwa hivi ambavyo wachagga wanashangilia kwenye space ni vitu minor sana kesi bado mbichi
Poor Avogadro
 
Jina la Mahita si geni katika nchi yetu, Omari Mahita aliwahi kuwa IGP katika jeshi la polisi. Kama majina yametokea kufanana na bwana Insipekta amepanda vyeo kutokana na weledi wake ni vyema na haki...
Basi conclusion ni kua walikua wanakunywa hiyo supu huku wanatembea.
 
Hapo sio suala la kuwa na elimu ya kiwango gani!!bali tatizo linapokuja kama unaenda kutoa ushahidi kwenye kesi ya kubumba hayo ndio matokeo yake mkuu!!
Hawa police nao hawanaga akili nn, hivi unakubalije kuwa shahidi wa kesi ya kutunga kama hii si unaenda kuaibika tu. Tatizo Unafiki ja Kujipendekeza kunaponza police wa Tz.
 
Jina la Mahita si geni katika nchi yetu, Omari Mahita aliwahi kuwa IGP katika jeshi la polisi. Kama majina yametokea kufanana na bwana Insipekta amepanda vyeo kutokana na weledi wake ni vyema na haki
Sioni ubaya wa mtoto wa Mahita kuwa Askari polisi, pia kwa Elimu aliyonayo ya shahada moja au zaidi anastahili kabisa kuwa na cheo hicho. Tena nimeshangaa sana mtoto wa IGP mstaafu anakosaje kitengo nyeti kabisa?

Uharisia ni kwamba hata wewe ukishika madaraja furani ni lazima utapandikiza wa kwako, maana biblia yenyewe inasema wazi "kheri mtu asiyemwamini mungu, kuliko anayewasahau watu wa nyumbani mwake".

NB: sikubaliani na kesi pamoja na ushahidi wa kingai na Mahita, Ila sioni tatizo mtoto wa IGP mstaafu kuwa inspector wa polisi.
 
Tatizo la mitandao watu wanajadili vitu vidogo ambaovyo haviwezi kuathiri substance ya case ,hukumu itatolewa kwenye msingi ambao kesi imejengwa , kwenye kesi kuna irregularity ambazo ni currable na zingine ni incurable kwa hivi ambavyo wachagga wanashangilia kwenye space ni vitu minor sana kesi bado mbichi
Vijana wa Chaggadema hawana akili. Ni mabingwa wa ushabiki na propaganda za mitandaoni ila mwisho wa siku makengeza akigongwa nyundo wanaanza kusema mahakama siyo huru.

Wana mtindio wa ubongo.
 
Wakili Matata naye ni matata kweli. Lakini zile kete wala bastola polisi inaonekana kama hawana tatizo nazo eti! Hii kesi ili kuepusha aibu zaidi kwa serikali waoindoe tu mahakamani maana haitawaacha salama!
Yaani eti unamkamata mtuhumiwa na kete 58 za heroine na silaha kinyume na umiliki eti hapo hukuona kosa la kumwandikia maelezo. Yaani kweli kama senema ya Rambo tu.

Ila narudia kuna mpango wa kumchafua Mh Rais baada ya team Dictator na Gang kuona Imani chanya kutoka kwa wananchi kwenda Kwa mama. Mh. Rais wangu tumia inner circle yako kupembua wali na chuya. Unaharibiwa.
 
Huyo demu Inspekta Mahita alichomekewa, hila ndiyo hivyo kitanda hakuzai haramu.
 
Back
Top Bottom