Kesi ya Agnes Doris Liundi - Nini hasa kilitokea?

daaah poleni aisee huyo mama kaolewa tena@bishanga?
ndo mama yake taji liundi?
Hivi huwa mnachangia kabla ya kusoma au vp! maana hili swali ni utopolo wa hali ya juu... bila shaka ww ni mwananchi mkuu?
 
Thanks Mtambuzi!kesi hii ni moja ya kesi zilizowahi kutikisa jiji la Dar,kamakesi ilivyofuata kwenye miaka ya 80 mwanzoni kesi iliyomuhusu Dr huyu huyu kwenye kesi hii.Jambo kubwa hapa,kesi zote zilihusisha mambo ya mapenzi,tena kwa vijana wasomi wa kipindi hicho!na zote zilipelekea mauaji ya kutisha!!!Jamo moja kubwa la kujifunza hapa kwetu sote,pamoja na madhaifu yetu kama binadamu,hakuna jambo linaloweza kuumiza nafsi ya mwenzio kama usaliti wa mapenzi.Na basi tunapoamua kuingia katika ndoa ni lazima uamuzi huo uwe umefanyika kwa dhati!!Leo mzee Liundi pamoja na heshima yake katika jamii nadhani ni jambo linalomuumiza mpaka siku mauti yatakampomkuta!!!TUPENDANE KWA DHATI!!!!NDOA SIO MAIGIZO AU MAKARATASI YA MAKANISANI,MSIKITINI AU KWA MKUU WA WILAYA!!
Acha tu aisee...!!
Usaliti ni jambo hatari sana
 
Hii kesi iinahuzunisha sana, kwa watu waliosoma Law hii kesi mara nyingi huipitia
Yes niliwahi kukutana nae nyumbani Chang'ombe Dar es Salaam, ni alikua Mama mwema sana! Brother Taji Liundi amechukua upole na ucheshi wa Mama yake, he is a gentle man! Bra
[/QUOT
 
sikupenda Mumewe alivyomtuhumu na kumuacha pekee kwa miaka
je huyu Mama ni Kabila gani?
sipendi kutoa Hukumu Mungu amlaze pema peponi
hakumtuhumu kwa uongo, inasemekana mama alivyokua chuoni alikua na mpenzi wa siri huku akiwa kwenye ndoa, na huyo mpenzi wa siri akampa maradhi ya zinaa, na yeye kuyabeba kumpelekea mumewe kumuambukiza,, ila mzee inasemekana alikua akihisi hayo mahusiano,, kosa mke kusema ukweli kwa mumewe akisingizia alibakwa na kupewa magonjwa ya zinaa na kumpa yeye,, sasa kama unavyojua wanaume tulivyo hata ukitukumbushia au kujua mwenyewe kosa ambalo ulimfanyia la usaliti ukiwa ndani ya ndoa na hukusema ukaficha, hata akiligundua miaka kumi mbele, lazima utapewa redcard tu, labda umuhadithie kitu ambacho kabla hamjaingia kwenye ndoa hatomaindi.
 
Usiseme Siri zako kwa mpenzi .Mimi nasemaga mi bikra
 
Duh! kweli tembea uone na kusikia!...Ila sasa Jaji Makame alivyomhukumu kifo si ndio katekeleza alichokua anataka Agness?
Insecurities za huyo mumewe is one thing( Probably hurts ) but seeing your children die and your wife hanged? Probably anajilaumu hadi sasa if at all he is alive. Guys we have to try to understand our women- its not that hard! Sio unakurupuka tu eti nisikukute home, mke mwenyewe hujamkuta red handed!
Naielewa hoja yako, inafikirisha....!
 
Ni story ya kusikitisha sana
Mapito ya Maisha

Storu kama hizi unazikuta Investigation Discovery Channel

majuzi niliona story ya Mama mmoja mzungu (u may google Andrea Yates) aliua wanae watano siku moja within one hour or so kwa kuwazamisha(drown) kwenye (sink la kuogea) bathtub mmoja baada ya mwingine...

alifungwa
Ila miaka kadhaa badae aliachiwa on grounds za ukichaa/insanity(alikua na historia ya hadi kulazwa hospitali kwa matatizo ya akili na ashafanyiwa treatment ya depression lakini bado hakuwa sawa)
Chanzo kingine walivyoelezea ni post partum depression...

story ilikua na mengi ila kwa ufupi ndo hayo
 
Kuna binti mkenya nilipo aliua wanae wawili kwa kuwazamisha majini(drown)
Ni muimba kwaya namjua tunakutana church.
alikua ni mkimya mstaarabu kumbe kichwani kunawaka moto.
Aliua wanae na akaripoti polisi kwamba wamepotea.
Watoto wakakutwa ndani ya ziwa, baada ya investigation wakakuta ni yeye aliwadumbukiza ndani ya maji.
Walimfunga miaka mitatu then wakasamehe na kumrudisha Kenya asirudi tena.
 
Back
Top Bottom