Kesi namba 456: Jamhuri vs JamiiForums juu ya Oilcom na Uchakachuaji mafuta bandarini, yaahirishwa mpaka Machi 1

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Apr 18, 2017
1,152
2,000
Kesi namba 456 Jamhuri Vs JamiiForums juu ya Kampuni ya Oilcom imeendelea tena leo katika Mahakama ya Kisutu.

Kesi hiyo inayosikilizwa mbele ya Hakimu Mkazi, Thomas Simba imehairishwa mpaka tarehe 01/03/2018

Kujua ilipotoka Kesi hii fuatilia hapa: KISUTU: Kesi ya Jamhuri dhidi ya JamiiForums yapigwa kalenda tena hadi Februari 21. Ni ile ya Oilcom...

Kujua Kesi za Jamhuri dhidi ya JamiiForums zinavyoendelea, fuatilia hapa: Muendelezo wa Kinachojiri Kisutu: Kesi za Jamhuri dhidi ya JamiiForums
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom