Kesi namba 456: Jamhuri vs JamiiForums juu ya Oilcom na Uchakachuaji mafuta bandarini kufanyiwa marekebisho tena!

Washasikia Lissu atakuwepo hiyo tarehe 26 September na mawakili wa serikali wanavyoliogopa hilo Jina nategemea hiyo kesi kusikia imesogezwa mbele tena kwa uoga wa kufundishwa sheria.
sio kusogeza siku tu, kuna hatari ya kumkamata na kumuweka mahabusu ili siku hiyo asiweze kuhudhuria
 
waste of resource of money/time... Hii case yafaa kutupiliwa mbali
 
Wana JF na Watz wote,
Ni dhahiri kwamba Serikali inajua kabisa hakuna kesi...! Inachofanya ni kujaribu kuwatisha Watz ili wasiwe na Uhuru wa kuikosoa Serikali kwa kutumia SHERIA KANDAMIZI NA YA KIDIKTETA iliyotungwa chapchap kwa hati ya Dharura ili kuwadhibiti Watz wasimkosoe Sizonje....!!
 
d0475524d8226bb6569656ec0b192f09.jpg


Wakili aliyesimama upande wa JamiiForums, Ndg. Peter Kibatala ameonekana kukerwa na danadana inayochezwa na Jamhuri katika kesi hii. Wakili Tundu Lissu amesema atahakikisha tarehe 26 Septemba anakuwepo mahakamani ili ashirikiane na wenzake kujua hatma ya kesi hii.
 
Back
Top Bottom