Kesi na. 456 (Jamhuri v JamiiForums): Hukumu yaahirishwa kwa mara ya nne

Hivi hii serikali mbona chizi sana eti alisema mambo ya richmond epa hatutasikia tena akati CAG Asaad alidai trilion1.5 hazijulikani pale hazina zimeenda wapi
Pascal Mayalla,
Mkuu tusaidiane hapa!

Serikali inajinasibu kwamba linapigana na ufisadi je kwanini JF iliyotumika kufichua ufisadi inasakamwa na serikali? je kwa mantiki hii kuna uhalali wa serikali ya magufuli kujinasibu kwamba inapigana na ufisadi?
 
Hii imesukwa ili jamaa asiende popote bila kutoa taarifa basi hakuna kingine. Sa hivi utakuta wanamsukia nyingine hawajakamilisha, wakikamilisha tu utasikia mhujumu uchumi anawekwa ndani no bail, jiwe ana matatizo sana na smart people toka aingie, wivu mwingi wa kijinga
 
Mtumishi Wetu,
Usituhukumu Ndugu, wote ni wahanga wa ukandamizaji.Hapa inabidi jumuia ya kimataifa na wanasheria wetu wafanye

Usituhukumu Ndugu, Sisi site tu wahanga wa ukandamizaji mkubwa unaofanywa dhidi ya watetezi wa Wananchi.

Tuhamasishane tudai Katiba mpya ya Wananchi ili tutengeneze mifumo mipya.Hapa tulipofikishwa,hata sheria zetu hazina uwezo wa kulinda haki zetu kama RAIA.
 
Back
Top Bottom