kESI NA.266/2010 Inayohusu Nabii Mwingira na Wakili Mbuya Kutajwa 1Jun,2012 High Cort | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kESI NA.266/2010 Inayohusu Nabii Mwingira na Wakili Mbuya Kutajwa 1Jun,2012 High Cort

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by KING COBRA, May 18, 2012.

 1. KING COBRA

  KING COBRA JF-Expert Member

  #1
  May 18, 2012
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 2,783
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Taarifa kutoka Mahakama kuu zinaonyesha kuwa kesi husika itatajwa tarehe 1/06/2012 baada ya kuandikwa katika magazeti ya Mwanahalisi na Uwazi.Mgogoro uliyojitokeza kwa wale ambao hawajui wanaweza kusoma hapa chini kwa ufafanuzi zaidi:


  Mgogoro uliojitokeza Mhakama kuu kanda ya DSM katika kesi namba 266/2010 iliyofunguliwa na Nabii Josephati Mwingira , mlalamikaji(Mwingira )anamulalamikia Eliya Hubert mbuya kuvunja mkataba wa kumupa sehemu ya kiwanja katika plot namba 548(a) eneo la Kawe Beach ambapo Mwingira amejenga nyumba ya thamani ya

  Tshs 1,000,000,000 na kuishi humo.
  Katika kesi hiyo Mbuya anatetewa na Wakili Michael Ngalo ambaye anajibu malalamiko ya Josephate Mwingira kama ifuatavyo:

  ‘That the plantiff’s claim and assertion that he is a ‘holy spiritual leader, apostle and prophet’ are matters whose varaciy and authenticity are only known to God and cannot be admitted or denied by the defendant but the defendant aver that the plantiff is a Founder and oversee of Efatha Ministry with a tittle of a Managinging director and also a trustee and chairman of its board of trustee of the Registered Trustee of Efatha ministry who in his personal capacity sexually assaulted and raped the Defendant’s wife and defiled the defendant house on plot number 548 Kawe Beach Kinondoni DSM in despite of his claim for holiness as a spiritual leader .’

  Wakili Michael Ngalo anaendelea katika Kipengele Cha nane kama ifuatavyo:
  ‘That in the meantime and then Unknown to the Defendant the Plantiff had sexually assaulted and raped the Defendant wife in the defendants house while the Defendant was at his place of work and managed to bribe the defendants wife into silence about the incident and later an adulterous association persited between the Plaintiff and the Defendants wile for a period of three years until God compelled the Defendant wife to make confession to the defendant about the adulterous association with the Plantiff”.
  Kwa ufupi Mbuya anamtuhumu Mwingira kuwa amekuwa ana mbaka mkewe aitwaye Bertha Evarist Mbuya kwa nyakati tofauti tangia mwaka 2003 hadi alipotubu mwenyewe mwaka 2009.
  Maelezo yake yanaonyesha kuwa , Mbuya na Mkewe walijiunga na Kanisa la Efatha na kujitoa katika huduma hiyo kwa kuchangia michango mingi ikiwa ni pamoja na kutoa uwanja katika nyumba aliyojenga Mwingira.Mbuya anasema, mwaka 2009 mkewe( Bertha) alitubu kwake na kumwambia kuwa siku moja mwaka 2003 akiwa kazini ,yeye (mke) alizini na Nabii Josephati Mwingira ndani ya nyumba yao iliyopo karibu na nyumba ya Mwingira!!!
  Bertha alimweleza Mbuya kuwa aliamua kutubu baada ya kupata ugonjwa mbaya uliomusumbua kwa muda wa miaka mitatu ambapo katika kumwomba Mungu alisikia sauti ikimwambia ili apone ni lazima atubu dhambi ya uzinzi kwa mumewe.
  [FONT=&quot]Baada ya kusikia hayo Mbuya na mkewe walikwenda kumukabili Nabii Josephati Mwingira na kumukuta yupo na Mkwewe (Elikunda Mwingira). Bertha aliweka wazi uzinzi aliofanya na Mwingira mbele ya kikao cha watu wane ambapo Mke wa Mwingira alikiri kusikia habari za uzinzi huo na Bertha alomba radhi kwa Elikunda (mke wa Mwingira) ambapo alimusamehe lakini Mwingira hakujibu chochote[/FONT]
   
 2. m

  muhinda JF-Expert Member

  #2
  May 18, 2012
  Joined: Dec 11, 2011
  Messages: 337
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 45
  mmmh, hii kali jamani.
  sasa uyo mke wa mbuya alibakwa kweli au walikubaliana na mwingira??
  na hayo mambo ya kubakana yanaingiaje kwenye kesi za viwanja??
  mi naona izo facts hazijakaa vizuri
   
 3. M

  Mwamakula JF-Expert Member

  #3
  May 18, 2012
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 1,893
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Nakumbuka hii kesi iliwahi kuandikwa kwenge gzt la Mwanahalisi.Hii isue imeanika uozo wote wa Mwingira na akapeleka matangazo gazetin
   
 4. G

  George Jinasa JF-Expert Member

  #4
  Jul 14, 2012
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 393
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35

  Ni kweli facts haziko vizuri. Labda hoja inaweza kuwa Bwana Mwingira alijirepresent kwa Bwana Mbuya kama ni nabii na mtume na kwa kushawishika na representation yake akaamua kutoa kiwanja akiamini kwamba anampa mtume na kwaajili ya shughuli za kitume. Baada ya kuona mwenzie anafanya mambo ambayo kwa kawaida hutokana na nguvu a shetani akaona kwamba alitoa kiwanja chake kutokana na misrepresentation.

  Lakini kama alijachenga na kutengeneza hati miliki kwa jina lake, mkataba wa kupeana kiwanja utakuwa umeshatekelezwa kwa ukamilifu wake kiasi kwamba ni incapable of being repudiated. Sijua facts zaidi za kesi zimekaaje labda kama kuna mtu akuturushia Hati nzima ya Madai na Maelezo ya Utetezi
   
Loading...