Kesi inayowakabili baadhi ya Viongozi wakuu wa CHADEMA na wabunge 7 katika mahakama ya hakimu mkazi kisutu imeahirishwa mpaka Disemba 21, 2018

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,899
Kesi na. 112/2018 inayowakabili baadhi ya Viongozi Wakuu wa Chama na Wabunge 7 wa Chadema katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imeahirishwa hadi Desemba 21, 2018 kwa ajili ya kutajwa tena. Kesi
mbowe.jpg
 
God and timu - hakuna wa kujiapisha kuhusu gereza na kifo - wameaanza wao wengine watafuata
 
Kesi na. 112/2018 inayowakabili baadhi ya Viongozi Wakuu wa Chama na Wabunge 7 wa Chadema katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imeahirishwa hadi Desemba 21, 2018 kwa ajili ya kutajwa tena. Kesi
View attachment 957867
Kenya wamepiga hatua kesi kama hizi kwa sasa Mwendesha Mashtaka atatoka nje ya Kenya na zaidi atatoka Uingereza. Hii wanadai itawasaidia kuondoa upendeleo, kupata tafsiri sahihi za kisheria na itasaidia pia Haki kupatikana kwa wakati!
 
Back
Top Bottom