Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 16,996
- 24,277
Mkuu mungu akubariki kwa taarifa hiiNa leo deni la Taifa limekuwa 115 trillion

Ukiwaza kwa kima, unakosa jibu kuwa serikali yetu ya chama tawala inamuogopa kwa ajili ya nini hasa.Kwani Lissu akiachwa afanye siasa bila kubugudhiwa serikali itapungukiwa na nini? Tena apewe ulinzi, apige domo la kutosha bila shida .
Serikali inamiliki jeshi,polisi,SIU, tume ya uchaguzi na mahakama. Hofu inatoka wapi?
Mkuu Burita, britanicca , kuna vitu huwa unasema ni vya kweli lakini kuna vitu ni uongo na uzushi tuu kama wazushi wengine!.Tanzania imekuwa blacklisted sasa hapo juu ndo wanakaangana
Mmoja analaumiwa kutosema chochote kuhusu wanayemuita muhaini Lissu ye yuko kimya tu
Mwingine mkubwa zaidi yeye anatafuta legitimacy ya anachomfanyia Lissu gerezani
Hii kesi ya Lissu ni kama kijiji kilichokula nyama na supu ya Mambo na hawa choo cha kudumu uharo utaonekana tu!
Ntarudi tena acha machawa wajichanganye hapa wa one
Nitarudi
Britanicca
Kaka tutaelewana Kidogo Kidogo 900Mkuu Burita, britanicca , kuna vitu huwa unasema ni vya kweli lakini kuna vitu ni uongo na uzushi tuu kama wazushi wengine!.
I just dont believe this!.
P
Duh....!, mbona sasa ndio umemharibia?. Hata kama ilikuwa iwe hivyo kiukweli, sasa umeisha mharibia!, all and all, japo ile ya Katto ni kweli, huu ni uongo na uzushi tuu!Mombo Seleman aliyekuwa kwenye nafasi ya ubalozi ukanda wa Amerika kusini wakati wa Nchimbi atachukua nafasi ya mkurugenzi wa usalama wa Taifa aliyepo sasa!
Kwa nini umenitag mimi tuu?!, kama uongo huu ungekuwa kweli, na ingekuwa na mimi ni mtu wa kule, si ungeniponza bure kuonekana kama ni mimi ndie navujisha?!.
lets wait and see!.Kaka tutaelewana Kidogo Kidogo 900
Kumekucha...Nipata Mawasiliano ya mtu mzito CCM amenambia
Lissu amekaba hoja zote hawana, leo ilikuwa afikishwe mahakamani Lakin Jana nilivyodekeza sehemu Dawati la Ikulu wakiwa na watu wanne wa upande wa Magereza
1.Jeremiah Yoram Katuma
2.Emmanuel Malisa,
3.Edith Mbogo
Ndani ya ukumbi wa Lugimbana waliitwa na
kumbuka ilikuwa siku ya kufungua mafunzo kwa maafisa tarehe 10, June ,2026,
Baada ya kikao waliitwa na msaidizi wa Dawati Ikulu akiwa na majaji wawili ambao sasa sitawataja maana wameonekana kutokuwa upande wao kwa kusema Lissu apewe 5Bilion ashawishiwe aachane na siasa, mambo yakagonga mwamba!
Kwanza taarifa ilianza kutoka ikulu kwamba Lissu asipelekwe mahakamani kuna jambo la kuweka sawa baina yake ma serikali
Option ya Pili ikatoka kwa Mjeshi na IGp kwamba Awekwe under arrest kwa Mwaka mmoja na wammalize taratibu akiwa nje ya gereza ili isionekane kuwa kafia gerezani (this is serious allegations na Nina ushahidi ila natunza now)
Jinsi ya kumshawishi wamependekeza Majina matatu Ila wakasema wasiwe Heche, Nshala wala Lema (hao waliopendekezwa hawakuhusishwa wala hawajui bali ilikuwa ni mapenkezo kuwa wahusishwe akiwemo na mstaafu maarufu wa chama fulan) kama wangeshiriki ningewataja Ila Kwakuwa hawakuambiwa chochote ndo maana siwapi tuhuma yeyote TUWAKAUSHIE KWANZA ,hatujui kama wangekubali au lah,
Kwanini wlipendekeza wapinzani hao wahusike ionekane Lissu na wenzake wameridhika na jinsi alivyoachiwa hata kama insingewekwa sababu public, japo suala kuna mmoja kavujisha Siri kwa wanaharakati kwamba Lissu will be under arrest! Though hawakujua kama ameandaliwa na option ya 5B,
Kumekuwa na mgongani ndani ya Serikali ngazi ya juu kabisa kuhusu suala la Lissu linavyopelekwa, hata wengine wanavyo endesha mambo! Wengine wamefika hatua Mpaka wanatuhumiana mambo mazito mno hadi kuuana, Wengine wamebadilisha hadi walinzi ,
Umeja wa Ulaya, na Marekani wamebana sana kuna barua wamelimwa Tanzania nazisubiri nitumiwe niweke! Kuhusu mienendo ya Haki za binadamu Tanzania, nchi kama Sweden na Ubalozi wake pia wanataka kupunguza msaada kwa Serikali ya Tanzania kwa zaidi ya Asilimia 80 yaan hii imezidi hata ambavyo Magufuli alipinguziwa,
Tuna list ya wanasiasa zaid ya 120 ambao ni CCM nao wameshapokea barua kutokanyaga nchi zao na pili ka option kanakoumiza wao ni watoto wao wanaosoma kule kufutiwa visa, mali walizo nazo kukamatwa ikiwemo fedha walizoweka nje,
Mbaya zaidi Samia kajichanganya kaenda Urusi ambao wao wakikupa zawadi au msaada zaidi ni kukurithisha vikwazo vyao! Hapa tunaongea USA imeendelea kuiweka Tanzania under surveillance kwa huyu mama kujichanganya na anaenda kusema taarifa za uongo Russia,
Tanzania imekuwa blacklisted sasa hapo juu ndo wanakaangana
Mmoja analaumiwa kutosema chochote kuhusu wanayemuita muhaini Lissu ye yuko kimya tu
Mwingine mkubwa zaidi yeye anatafuta legitimacy ya anachomfanyia Lissu gerezani
Hii kesi ya Lissu ni kama kijiji kilichokula nyama na supu ya Mambo na hawa choo cha kudumu uharo utaonekana tu!
Ntarudi tena acha machawa wajichanganye hapa wa one
Nitarudi
Britanicca
Mimi huku nashangilia sana ksbb ndio mwanzo wa ukombozi. Naomba Ulaya na Marekani wazidi kuwabana sana. Hata hivyo vyao vinavyosoma huko vitimuliweNCHI IMEMALIZWA NA VIONGOZI WAPUMBAVU WA CCM
upuuzi upuuzi wa vijiweniNipata Mawasiliano ya mtu mzito CCM amenambia

Lisu siyo dalali wa siasa kama dj, damu yake haitamwacha mtu salamaNipata Mawasiliano ya mtu mzito CCM amenambia

🔥 🔥 🔥Nipata Mawasiliano ya mtu mzito CCM amenambia
Lissu amekaba hoja zote hawana jipya, leo ilikuwa afikishwe mahakamani Lakin Jana nilivyodekeza sehemu Dawati la Ikulu wakiwa na watu wanne wa upande wa Magereza
1.Jeremiah Yoram Katuma
2.Emmanuel Malisa,
3.Edith Mbogo
Ndani ya ukumbi wa Lugimbana waliitwa na
kumbuka ilikuwa siku ya kufungua mafunzo kwa maafisa tarehe 10, June ,2026,
Baada ya kikao waliitwa na msaidizi wa Dawati Ikulu akiwa na majaji wawili ambao sasa sitawataja maana wameonekana kutokuwa upande wao kwa kusema Lissu apewe 5Bilion ashawishiwe aachane na siasa, mambo yakagonga mwamba!
Kwanza taarifa ilianza kutoka ikulu kwamba Lissu asipelekwe mahakamani kuna jambo la kuweka sawa baina yake ma serikali
Option ya Pili ikatoka kwa Mjeshi na IGp kwamba Awekwe under arrest kwa Mwaka mmoja na wammalize taratibu akiwa nje ya gereza ili isionekane kuwa kafia gerezani (this is serious allegations na Nina ushahidi ila natunza now)
Jinsi ya kumshawishi wamependekeza Majina matatu Ila wakasema wasiwe Heche, Nshala wala Lema (hao waliopendekezwa hawakuhusishwa wala hawajui bali ilikuwa ni mapenkezo kuwa wahusishwe akiwemo na mstaafu maarufu wa chama fulan) kama wangeshiriki ningewataja Ila Kwakuwa hawakuambiwa chochote ndo maana siwapi tuhuma yeyote TUWAKAUSHIE KWANZA ,hatujui kama wangekubali au lah,
Kwanini wlipendekeza wapinzani hao wahusike ionekane Lissu na wenzake wameridhika na jinsi alivyoachiwa hata kama insingewekwa sababu public, japo suala kuna mmoja kavujisha Siri kwa wanaharakati kwamba Lissu will be under arrest! Though hawakujua kama ameandaliwa na option ya 5B,
Kumekuwa na mgongani ndani ya Serikali ngazi ya juu kabisa kuhusu suala la Lissu linavyopelekwa, hata wengine wanavyo endesha mambo! Wengine wamefika hatua Mpaka wanatuhumiana mambo mazito mno hadi kuuana, Wengine wamebadilisha hadi walinzi ,
Umoja wa Ulaya, na Marekani wamebana sana kuna barua wamelimwa Tanzania nazisubiri nitumiwe niweke! Kuhusu mienendo ya Haki za binadamu Tanzania, nchi kama Sweden na Ubalozi wake pia wanataka kupunguza msaada kwa Serikali ya Tanzania kwa zaidi ya Asilimia 80 yaan hii imezidi hata ambavyo Magufuli alipinguziwa,
Tuna orodha ya wanasiasa zaidi ya 120 ambao ni CCM nao wameshapokea barua kutokanyaga nchi zao na pili ka option kanakoumiza wao ni watoto wao wanaosoma kule kufutiwa visa, mali walizo nazo kukamatwa ikiwemo fedha walizoweka nje,
Mbaya zaidi Samia kajichanganya kaenda Urusi ambao wao wakikupa zawadi au msaada zaidi ni kukurithisha vikwazo vyao! Hapa tunaongea USA imeendelea kuiweka Tanzania under surveillance kwa huyu mama kujichanganya na anaenda kusema taarifa za uongo Russia,
Tanzania imekuwa blacklisted sasa hapo juu ndo wanakaangana
Mmoja analaumiwa kutosema chochote kuhusu wanayemuita muhaini Lissu ye yuko kimya tu
Mwingine mkubwa zaidi yeye anatafuta legitimacy ya anachomfanyia Lissu gerezani
Hii kesi ya Lissu ni kama kijiji kilichokula nyama na supu ya Mambo na hawana choo cha kudumu uharo utaonekana tu!
Ntarudi tena acha machawa wajichanganye hapa waone
Nitarudi
Britanicca
Big up,Ntarudi tena acha machawa wajichanganye hapa wa one