Kesi hizi ziko wapi?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kesi hizi ziko wapi??

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by MchunguZI, Apr 1, 2011.

 1. MchunguZI

  MchunguZI JF-Expert Member

  #1
  Apr 1, 2011
  Joined: Jun 14, 2008
  Messages: 3,623
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280
  Mwaka 2003 kuna watu waliakamatwa wakiiishi kunduchi, nadni ya nyumba yao ambayo ilonyeshwa magazetini walikuwa na mashine ya kutengeneza madawa ya kulevya.

  Kesi hii haikusika tena na sijui iliishia wapi.

  Miaka miwili iliyopita kuna watu walikamatwa na maiti wakitokea Zambia. Maiti ilikuwa imetobolewa na kurundikwa madawa ya kulevya. Maiti na wahusika walionyeshwa ktk vyombo vya habari, baadaye sarakasi iliishia sinza kwenye makazi ya wahalifu.

  Kesi hii haijasikika tena na sijui imeishia wapi.

  Mbona Mahakama zetu zinakuwa ni vichaka vya wahalifu? Kuna umakini kweli jinsi tunavyowapata majaji?
   
Loading...