Kesi George Floyd: Inadhihirisha alivyosema Shaaban Robert kuwa Uanasheria ni elimu ya kupingana na haki

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
40,373
73,975
1. Defense wanajenga hoja, wana create doubt kuwa kwa vile Floyd alikuwa anatumia madawa ya kulevya na alikuwa na magonjwa ya moyo, basi kifo chake kwa kiasi kikubwa kilichangiwa na matumizi ya madawa ya kulevya ma magojwa ya moyo aliyokuwa nayo na siyo kukosa hewa kulikosababishwa na kukandamizwa na goti shingoni kwa dakika 9 sek 29?? mpaka aka suffocate

2. Prosecution inasema kuwa hata angelikuwa system zote za mwli ziko 100% perfect, mgandamizo huo kwa muda huo hata mtu mwenye afya bora kabisa duniani angelkufa.

Ni sawa na kusema hivi kama mtu anatumia madawa ya kulevya na ana magonjwa ya moyo, basi ukimpiga risasi kwenye moyo basi kifo chake kinakuwa kimechangiwa na magonja ya moyo na madawa aliyonayo na si risasi per se!

Hayo ndiyo maajabu ya Sheria na mawakili
 
Hiyo hoja ni rahisi kupangua, kwamba defense waseme likelyhood (probability) ya mtu mwenye ugojwa wa moyo na mlevi wa madawa kufa kwa ugonjwa wa moyo na ulevi katika timeframe window ile ile ambayo ndio amegandamizwa na goti shingoni, kwamba huo ugonjwa na ulevi vimesubiri timing ile ile ya kuminywa njia ya hewa ndio vimuue, kwamba si kukosa hewa ndio kumemuua. Hapo unaweza ukaita na nguli wa hisabati za probability kizimbani aje atoe probability by percentage.
 
ila African American sijui nani kawaloga aisee, kila ninayemsikia utakuta alikuwa anavuta unga na wengi walishacheza porno. hata huyu froid sijui nini alishacheza porn hivyo hata huyo mtoto wake akikua akiingia kwenye mitandao atakuta babake akiwa uchi akifanya ngono. na usikute na yeye akaja kucheza porno.
 
ila African American sijui nani kawaloga aisee, kila ninayemsikia utakuta alikuwa anavuta unga na wengi walishacheza porno. hata huyu froid sijui nini alishacheza porn hivyo hata huyo mtoto wake akikua akiingia kwenye mitandao atakuta babake akiwa uchi akifanya ngono. na usikute na yeye akaja kucheza porno.
Kucheza porn kawaida tu huko na wote wanacheza weusi kwa weupe.
 
Back
Top Bottom