Kesi dhidi ya Meya wa JiJi

Sr. Magdalena

JF-Expert Member
Aug 10, 2011
803
472
Week kadhaa zilizopita wabunge wawili wa mkoa wa Dar es Salaam walimpa week mbili meya wa jiji kuwaomba msamaha kwa kile walichokiita kuwakashi na kuwatukana na kama asingefanya hivyo waliahidi kumpandisha kizimbani,

Je kesi ilifunguliwa na kama ilifunguliwa je inaendeleaje au ulikuwa mkwara tu, njulisheni.
 
wanaofikiri kwa................ naona hap jamaa mahakama zao huwa ni milingotini tu!
 
Week kadhaa zilizopita wabunge wawili wa mkoa wa Dar es Salaam walimpa week mbili meya wa jiji kuwaomba msamaha kwa kile walichokiita kuwakashi na kuwatukana na kama asingefanya hivyo waliahidi kumpandisha kizimbani,<br />
<br />
Je kesi ilifunguliwa na kama ilifunguliwa je inaendeleaje au ulikuwa mkwara tu, njulisheni.
<br />
<br />
Hebu jaribu kuwa contact hao wabunge wawili then utujulishe. Heading ya post yako iko tofauti na thread
 
Meno ya mbwa hayaumani!
Benyewe kwa Benyewe Banang'atana? Magamba hao wote au umewasahau Mkuu?
 
Hawa wote ni dugu moja , wanafanya usanii tu; kumbuka mara zote ukisikia Pinda anaunda tume ya uchunguzi ujue hapo wanataka kuficha uvundo wao na hili nitalithibitishsha. Tuhuma dhidi ya tenda iliyopewa familia ya Kingunge Ngombale ya pale stendi ya Ubungo zilitolewa bungeni na Pinda akaunda tume ya uchunguzi juu ya suala lile na mpaka leo hii matokeo ya tume ile hayakurudishwa bungeni wala kuwekwa hadharani!! Hivyo hivyo nahisi hii tume iliyoundwa ya kumchunguza Masaburi na genge lake itaishia hivyo hivyo kwani ishara zinaonesha hivyo; Masaburi ingawa anachunguzwa hakusimamishwa kazini tofauti na mkurugenzi wa wanyama pori, ingawa wote wanachunguzwa kwa amri ya Pnda bungeni!! Ndugu zangu nchi hii imeoza inataka itiliwe ibani.
 
Week kadhaa zilizopita wabunge wawili wa mkoa wa Dar es Salaam walimpa week mbili meya wa jiji kuwaomba msamaha kwa kile walichokiita kuwakashi na kuwatukana na kama asingefanya hivyo waliahidi kumpandisha kizimbani,

Je kesi ilifunguliwa na kama ilifunguliwa je inaendeleaje au ulikuwa mkwara tu, njulisheni.
kesi ipo tayari mahakani kwa mzee motto tandika... Meya sasa hivi ataota busha
 
kesi ipo tayari mahakani kwa mzee motto tandika... Meya sasa hivi ataota busha

Huyo meya jaluo unamuonaje; unadhani bila kwenda kwa toboa tobo leo hii angekuwa mbunge wa Afrika mashariki na Meya wa jiji? Akigombea ubunge wa Afrika Mashariki aliwaroga wenzie wakashindwa kujieleza na yeye akapeta; habari ndio hiyo !! Hiyo ndiyo Mafia ya kijaluo ya Masaburi/Mahanga.
 
Back
Top Bottom