Kesi dhidi ya JK kuzuiwa kugombea Uraisi yatupwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kesi dhidi ya JK kuzuiwa kugombea Uraisi yatupwa

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Rutashubanyuma, Oct 19, 2010.

 1. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #1
  Oct 19, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,345
  Likes Received: 418,748
  Trophy Points: 280
  Mwalimu machachari ambaye amekuwa akiisumbua tawala za CCm kuhusiana na utawala bora amejikuta kesi yake ya kumpinga JK asigombee Uraisi kwa kushindwa kuzuia ufisadi na hivyo kukiuka katiba ikitupwa nje na yeye akitakiwa kulipa gharama za kesi.

  Haijafahamika mara moja kama atakata rufani mahakama ya rufani.

  Hata hivyo kutokana na maoni yangu kesi hiyo haina nguvu za kisheria kutokana na ukweli ya kuwa utendaji wa Raisi kikatiba unathibitiwa na Bunge na wala siyo mahakama. Hivyo hata kama hoja za mwalimu tajwa zina "mizizi ngangari" lakini mahakama haina uwezo wa kuchunguza utendaji wa Raisi bali ni bunge tu......
   
Loading...