kesho watu wa arusha tunatoa hesima za mwisho kwa mashujaa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kesho watu wa arusha tunatoa hesima za mwisho kwa mashujaa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by nzom, Jan 11, 2011.

 1. n

  nzom Senior Member

  #1
  Jan 11, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 168
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  napenda kuwaomba wapendwa na wanawema wa tanganyika kua sasa jamii imechoka na kwa heshima mwenykititi akiwa hapa atauongoza kutoa heshima za mwisho kwa ndugu zetu hapa arusha nao ni mashujaaa wa karn ila damu yao na udugu wote tutaukumbuka Mungu warehemu na wabe adhabu mamlaka hiyo
   
 2. M

  Mwan mpambanaji JF-Expert Member

  #2
  Jan 11, 2011
  Joined: Apr 3, 2008
  Messages: 468
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  mungu awalaze mahali pema peponi,amen
   
 3. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #3
  Jan 12, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  The fear of death is the most unjustified of all fears, for there's no risk of accident for someone who's dead.

   
Loading...