Kesho wabunge wote wa Tabora kuonana na wanafunzi wa vyuo vikuu pamoja na wahitimu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kesho wabunge wote wa Tabora kuonana na wanafunzi wa vyuo vikuu pamoja na wahitimu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by MARCUS KAMBONA, Jun 3, 2011.

 1. MARCUS KAMBONA

  MARCUS KAMBONA New Member

  #1
  Jun 3, 2011
  Joined: May 13, 2011
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  KESHO TAREHE 4/06/2011,JUMAMOSI.KUTAKUWA NA KIKAO KITAKACHO FANYIKA KATIKA UKUMBI WA DDC MILIMANI,MKABALA NA MLIMANI CITY KUANZIA SAA 10:00 JIONI.WAGENI WATAKAO KUWEPO NI WABUNGE WOTE WA MKOA WA TABORA WAKIONGOZWA NA MUHESHIMIWA MAGDALENA SAKAYA,SAMWELI SITTA,KHAMISI KIGWANGALA,SAIDI NKUMBA,PROF:JUMA KAPUYA,ROSTAM AZIZ NA ADEN RAGE.MADHUMUNI YA KIKAO NI UANZISWAJI WA UMOJA WA MKOA WA TABORA,KUJADIRI SHUGHULI ZA MAENDELEO YA MKOA WA TABORA NA KUWAPA KERO ZA MKOA WA TABORA WAWAKILISHI WETU WAZIWAKILISHE BUNGENI.MUNGU IBARIKI TABORA,MUNGU IBARIKI TANZANIA.nawasilisha
   
 2. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #2
  Jun 3, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,483
  Likes Received: 765
  Trophy Points: 280
  Nitakuja kupiga picha Rostam Aziz kabla hajavuliwa gamba.
   
 3. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #3
  Jun 3, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Waulizeni hao wabunge wawape mchanganuo wa matumzi ya ule mfuko wa bunge.

  • Ni asilimia % ngapi ya mfuko wwametumia kwenye elimu ?
  • Wamatumiaje hasa kwenye matumizi gani?
  • Kama hawajawekzea kwenye elimu wamezitumiaje ?
  Waulizeni pia je wamefanya vikao kama hivi na vingapi za kukusanya maoni ya wanachi huko majimboni????? au wananchi wa dar ndo wanajua matatizo ya vijijini. Otherwise itakuwa ni kutafuta umaarufu wa kisiasa kwa sanaa. kwa mtazamo sisi watu wa mjini tumekuwa tunajifanya tunajua sana matatatizo ya watu wa vijijini.

  Utakuta mtu wa dar anashangaa shule au darsa na kigoma halina paa au chini ya mti. Kwa mtu wa kijijini inawezekan sio tatizo nyeti. tatizo la kwanza linaweza kuwa ni kutokuwa na vitabu sio darasa la matofali.
   
 4. c

  corleone Member

  #4
  Jun 3, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tusio wa tabora tunakaribishwa? napenda kukutana na kigwangala
   
 5. Juaangavu

  Juaangavu JF-Expert Member

  #5
  Jun 3, 2011
  Joined: Nov 3, 2009
  Messages: 916
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Mwe! Lini anayelia kivulini akafahamu matatizo ya yule aliyeko juani! Waambieni, siasa si kudanganya watu, waende kwa waliowapigia kura huko vijijini wakakusanye matatizo yao ili wayafikishe bungeni, mlimani city au ddc club hapakuwepo sanduku la kumchagua Sita, Prof, Kigwangala, Rostam nk.
  Huu wendawazimu mpya unahitaji kukemewa kabla haujaota mizizi.
   
 6. B

  Bijou JF-Expert Member

  #6
  Jun 4, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,177
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  bahati mbaya wengine tuko nje ya Dar, lakini kwanini wasingeanzia Tabora kwenyewe? hawa wa Dar tabora walienda lini?, wengi waliisha kimbia, any way waulizwe wanamkakati gani mkoa kuunganisha na lami? ni aibu mkoa pekkee hauna lami, uwanja wa tope wa ndege wanauangalia vipi, train kimbilio letu wanyoonge wanamkakati gani, kuporomoka kwa elimu wamejiandaa vipi kuinua. wilaha ya Igunga, haina hata high School!!! shame on Mbunge, hela mbalimbali, ni bora mara ellllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllfuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu, ukawekeza kwenye elimu. wilaya nyingine nazifutia pumzi
   
Loading...