Angalia kamusi ya Kiswahili.Kibudu ni nini?
Kesho nampeleka Mwanakheri bin ******** kula kiti moto. Ni siri ya mimi na yeye.Kesho ni jumamosi kwa wale wakazi wa dodoma wanajua kesho ni siku ya mnada yaani ni siku ya kwenda kula nyama,
Kuna mnada wa Msalato, N'kome chipogoro,na N.K.
ila mnada maarufu sana kwa nyama ni mnada wa pale Msalato watu wengi wenye heshima zao wakiwemo ,wabunge,wafanyabiashara wakubwa,mawaziri N.K. kesho utakutana nao pale mnadani wakila nyama ,
Je wewe mkazi wa dodoma na mkoa mwingine kesho utakuwa wapi ukila nyama Chomaaaaa?
Kwa Mrombooooooooooooooooooooo.
CC Zero IQ
Hivi ni maili moja kutokea upande upi?Kesho Kibaha maili moja kwenye Mnada WA Mbuzi
Angalia kamusi ya Kiswahili.
Are you trying to locate where I am? It won't work.
🙉🙉Jumamosi ya Kufumua fumua kizazi cha mtu ....baadae itajulikana....nikifia guest basi mje mchukue mabapa ya Konyagi....nataka niisugue hii nyama mpaka basi
😂😂😂Guest House. Namchumisha mtu mboga.
umeuliza maswali mawili kwa mkupuo afu umejijibuBasi kutakuwa na watu wenye heshima kama baba yako?
Hapo umefurahi mkuu?
Mkuu mimi nataka niwe kijiweni kwako, embu nielekeze nije kula nyama chomaKesho ni jumamosi kwa wale wakazi wa dodoma wanajua kesho ni siku ya mnada yaani ni siku ya kwenda kula nyama,
Kuna mnada wa Msalato, N'kome chipogoro,na N.K.
ila mnada maarufu sana kwa nyama ni mnada wa pale Msalato watu wengi wenye heshima zao wakiwemo ,wabunge,wafanyabiashara wakubwa,mawaziri N.K. kesho utakutana nao pale mnadani wakila nyama ,
Je wewe mkazi wa dodoma na mkoa mwingine kesho utakuwa wapi ukila nyama Chomaaaaa?
Kwa Mrombooooooooooooooooooooo.
CC Zero IQ
Sisi wa moshi mjini tunakula wapi nyama?
Nenda changbaiSisi wa moshi mjini tunakula wapi nyama?
Machinjioni ukitoka picha ya ndege stand mpya ukipita tu NIDA na Biolavricides kushotoHivi ni maili moja kutokea upande upi?