Kesho tarehe 3 Chadema na ACT-Wazalendo watafanya jambo muhimu mno

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Oct 28, 2012
18,618
20,946
1601662569767.png
 

Muda wa kukataa unyonge wetu.

Kauli mujarab tokea Tahrir Square:

1. Tunashirikiana jmt mgombea Lissu Zanzibar Maalim.
2. Tunaachiana majimbo kwa utaratibu wetu.
3. Lissu anaendelea na kampeni kama ilivyo.
4. Hatutambui kusimamishwa kwake hasa kama hakuna hatua zozote zilizochukuliwa kuhusiana na malalamiko yote aliyofikishiwa mgombea wa CCM.
Yakiwamo ya majaliwa kuendelea na kampeni kinyume cha utaratibu.
5. Dkt. Mahera ang'oke tume wito wa kudai tume huru unapoendelezwa kwa nguvu zaidi.
6. Wote walioenguliwa warejeshwe.
7. ....
 
Back
Top Bottom