Kesho tarehe 21/08/2013, kamanda mbowe na timu yake watakua tukuyu-mbeya ktk viwanja vya tandale. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kesho tarehe 21/08/2013, kamanda mbowe na timu yake watakua tukuyu-mbeya ktk viwanja vya tandale.

Discussion in 'KATIBA Mpya' started by Tky, Aug 20, 2013.

 1. Tky

  Tky JF-Expert Member

  #1
  Aug 20, 2013
  Joined: Oct 1, 2012
  Messages: 439
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Salam wanajamv, wakaz wa Tukuyu mjni wilaya ya Rungwe munaarifiwa kuwa kesho Tarehe 21/08/2013. Kutakua na mkutano mkubwa wa CHAMA CHA DEMOKRASIA CHADEMA, Ktk viwanja vya Tandale-Tukuyu mjini, kuanzia saa nane mchana, nitajitahidi kuwapa updates na picha.
   
 2. f

  fukujima Senior Member

  #2
  Aug 20, 2013
  Joined: Apr 19, 2013
  Messages: 110
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Nadhani bado mawasiliano hayajawa vizuri: kesho muda huo atakuwa Sumbawanga Mjini: chopa inafanyiwa matengenezo madogo PALE KIGOMA kwa sasa. kwa hiyo ratiba imeingiliana kiasi. Jaribu kupata habari ya Uhakika zaidi.
   
Loading...