Asante mkuuMmungu akubariki sana naumia moyo sana basi tu
Ndio mkuu nimeumia sanaMkuu mpaka moro;duh
Sawa mkuuMkuu print tshirt yenye maandishi ya hashtag [HASHTAG]#FreeMaxenceMelo[/HASHTAG] uivae wakati wa tukio, ukishindwa basi beba hata bango kubwa lenye maandishi hayo
Afu uni PM kabla hujaondoka nimshtue sam mahela aje akurushe mubashara ITV
Mmungu akubariki sana naumia moyo sana basi tu
ameeenn!!barikiwa sanaTusiumie mioyo geniveros!
Tumuombe Mungu atupe Hekima na Busara katika wakati huu mgumu anaoupitia Ndugu yetu Maxence Mello.Siku zote Mungu anasimamia upande wa wanyonge.
Lets keep on waiting and only time will tell us.
[HASHTAG]#FreeMaxenceMello[/HASHTAG].
[HASHTAG]#BringbackBenSaanane[/HASHTAG],
Umeanza safari kiongozi?Wakuu Amani Kwenu.
Matembezi yangu yatakua ya amani na nitakwenda na elfu 50 za kitanzania kama mchango wangu kwa Max dhidi ya matatizo haya.
Inshaallah.Ila mkuu ujue unatumia barabara ya Tanroads,umepata leseni Sumatra maana itabidi uwe na timetable.Wakuu Amani Kwenu.
Matembezi yangu yatakua ya amani na nitakwenda na elfu 50 za kitanzania kama mchango wangu kwa Max dhidi ya matatizo haya.