Kesho nitatembea kutoka Morogoro hadi DSM kwa miguu kama sapoti kwa Maxence Melo

Mkuu print tshirt yenye maandishi ya hashtag [HASHTAG]#FreeMaxenceMelo[/HASHTAG] uivae wakati wa tukio, ukishindwa basi beba hata bango kubwa lenye maandishi hayo

Afu uni PM kabla hujaondoka nimshtue sam mahela aje akurushe mubashara ITV
 
Sawa mkuu
 
Mmungu akubariki sana naumia moyo sana basi tu

Tusiumie mioyo geniveros!

Tumuombe Mungu atupe Hekima na Busara katika wakati huu mgumu anaoupitia Ndugu yetu Maxence Mello.Siku zote Mungu anasimamia upande wa wanyonge.

Lets keep on waiting and only time will tell us.

[HASHTAG]#FreeMaxenceMello[/HASHTAG].
[HASHTAG]#BringbackBenSaanane[/HASHTAG],
 
ameeenn!!barikiwa sana
 
Tupo pamoja mkuu ..,naamini wengi humu ni wahanga wa kimya kimya ....sipati picha kama wenyewe wataamua kwa style ya kuzima mshumaa ....
Tunaomba sn kwa MMungu a mfa nzie wepesi Max ...ukizingatia sisi ndo ...
Nitarudi .......
 
Dah...kama ukikomaa kiume itakuchukua siku tatu hivi.....na lile Pori kabla hujafika .bwawani ndiyo sehemu ya pekee ya hatari... black mamba....nimeishatembea njia hiyo mara 3 hivi...
 
Safi sana
[HASHTAG]#freemaxencemelo[/HASHTAG]
[HASHTAG]#TunamtakaBenAkiwaHai[/HASHTAG]
[HASHTAG]#JusticeForLema[/HASHTAG]
[HASHTAG]#usirudiekosa2020[/HASHTAG]
 
Wakuu Amani Kwenu.

Matembezi yangu yatakua ya amani na nitakwenda na elfu 50 za kitanzania kama mchango wangu kwa Max dhidi ya matatizo haya.
Inshaallah.Ila mkuu ujue unatumia barabara ya Tanroads,umepata leseni Sumatra maana itabidi uwe na timetable.
 
Back
Top Bottom