Kesho ni siku ya wapendanao: Je ungependa kutoka na nani hapa JF?

wa stendi

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
24,973
27,209
Husika na tittle hapo juu,

Kama ukipewa fursa ya kuchagua mmoja wa member humu JF awe ni ke au ni me je wewe utapenda kutoka na nani?

Onyo: Mimi ni padre plies nakaa pembeni fungukeni wenyewe mi yangu macho.
 
1bb3b0eb3e61a71d380d5f461b675f82.jpg
 
Husika na tittle hapo juu,

Kama ukipewa fursa ya kuchagua mmoja wa member humu JF awe ni ke au ni me je wewe utapenda kutoka na nani?

Onyo: Mimi ni padre plies nakaa pembeni fungukeni wenyewe mi yangu macho.
mkuu ukiamka utanijulisa ili tusalimiane na nikupe taarifa ile series ya makonda imekatishwa,haitaendelea kuruka tena pale clouds kutokana na gharama za uwendeshaji kuwa kubwa ,na pia kukosa viwers wengii
 
Husika na tittle hapo juu,

Kama ukipewa fursa ya kuchagua mmoja wa member humu JF awe ni ke au ni me je wewe utapenda kutoka na nani?

Onyo: Mimi ni padre plies nakaa pembeni fungukeni wenyewe mi yangu macho.
Zaidi ya padre mwenzangu, hakuna mwingine hahaa
 
Back
Top Bottom