Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Japan navyowajua kwa kuchapa kazi hawawezi acha kwenda kazi sababu ya ushindi tu...Ndiyo mwendo wa Kisasa. Waliopambwa wamepembuliwa.
Toyota, Suzuki, Isuzu mwendo mdundo.
Sasa hilo jina ukitoa Ta mtanganzaji atalitamkajeanaitwa takuma
Wajinga boli wanalijua aisee.Ila japani wapo vizuri sana mwaka huu!
Kuna okra na mwamba wa lusakaHivi AFRICA kunani!??
Takumi Minaminoanaitwa takuma
WasukumaSasa hilo jina ukitoa Ta mtanganzaji atalitamkaje